Posts

Showing posts with the label millardayo.com

TATIZO KWENYE MILLARDAYO.COM | Millardayo

Uniwie radhi popote ulipo millardayo.com haitakua hewani kwa muda mfupi na tatizo linashughulikiwa kwa haraka, kwa sasa habari zote yakiwemo Magazeti ya Tanzania zitapatikana kwenye Youtube, Facebook na Twitter ambapo unaweza kubonyeza hapa ili upelekwe moja kwa moja >>> INSTAGRAM <<< >>> FACEBOOK <<< >>> TWITTER <<< >>> YOUTUBE <<< Read more from millardayo.com

Ayo TV MAGAZETI: Serikali alipa madeni bil 190, Balaa lingine vitambulisho va taifa | Millardayo

siku asubuhi ungana na Janeth Mesomapya wa Ayo TV ili akusomee habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo yuko leo October 19, 2017 ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini ameshazisoma tayari. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 17, 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI. Read more from millardayo.com

Tazama ziara ya Paul Makonda Zanzibar ( video ) | Millardayo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya ziara kwenye upande wa Mjini Magharibi huko Zanzibar ambapo AyoTV imenasa kila kitu kilivyokua… bonyeza play hapa chini kutazama WCB walivyogawa chakula nyumbani kwa Paul Makonda Dar es salaam, bonyeza play hapa chini kutazama Read more from millardayo.com

BREAKING: Lissu aongea kwa mara ya kwanza toka apigwe risasi, msikilize hapa | Millardayo

Wengi wamekua wakisubiria kuisikia sauti yake akiongea mwenyewe baada ya kulazwa Hospitali na kutoonekana wala kusikika toka alipopigwa risasi nyumbani kwake Dodoma, bonyeza play hapa chini kumsikiliza Lissu mwanzo mpaka mwisho. UMEPITWA? Camera kwenye eneo alikopigwa risasi Tundu Lissu imeondolewa – Mbowe….. play hapa chini Read more from millardayo.com

Waziri wa mafuta Oman alivyolonga Kiswahili mwanzo mwisho IKULU (video) | Millardayo

“Tanzania na Oman sio marafiki tu ni ndugu na hata kihistoria inajulikana na ndio maana nimepongeza ziara hii ya siku kumi, Znz siku 5 na Tanzania bara siku 5… nimeshukuru sana kwamba katika mission yao waliyotumwa na Mfalme wamekuja kuangalia swala la uwekezaji hasa kwenye viwanda” – amesema Rais Magufuli Ikulu leo Mengine aliyoongea President Magufuli […] Read more from millardayo.com

HATIMAE! Picha za Tundu Lissu Hospitali zaonyeshwa kwa mara ya kwanza (+ picha 2) | Millardayo

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe jana akizungumza na Waandishi wa Habari alisema kwamba picha za Tundu Lissu ambae alijeruhiwa kwa risasi Dodoma zitaanza kutoka na watu wataziona kwenye mitandao, ni baada ya kulazwa Hospitali na watu kutoona picha zake toka alipopigwa risasi. . TUNDU LISSU ATOKA ICU, ALIONA JUA KWA MARA YA KWANZA…  ULIPITWA? Tundu […] Read more from millardayo.com

Boss wa Shule iliyozawadia Wanafunzi magari kaongea kwanini kafanya hivyo | Millardayo

Jina lake ni Injinia Chacha Wambura ambae ni Mkurugenzi wa shule za Waja ambae leo ameamua kuweka wazi kwanini ametoa zawadi za gari kwa Wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa. “Kwanini hatukumpa hela, kumlipia ada au kufanya kitu kingine na sio kumpa gari, Mwanafunzi mwenyewe anakwambia kitu atachokifurahia na kuona amejaliwa ni zawadi ambayo inakwenda moja kwa […] Read more from millardayo.com

Wanafunzi 80 waondoka Tanzania kwenda kusoma China | Millardayo

Global Education Link ambao ni Mawakala wa vyuo vya nje ya Tanzania wamefanikisha tena kama ilivyo kawaida yao awamu nyingine ya kuwaunganisha Wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma nje ya Tanzania. Wanafunzi wa Kitanzania 80 wenye ndoto za kusoma nje ya Tanzania wameondoka kwenda China na India  likiwa ni kundi la 5 kutoka G.E.L na wengine […] Read more from millardayo.com

Bodi ya Mikopo yataja idadi ya orodha ya kwanza ya Wanafunzi wataopewa mikopo | Millardayo

Najua Wanachuo wengi wamekua wakiisubiria hii habari kwa muda na sasa imeongelewa rasmi na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) ambayo leo imetoa orodha ya kwanza ya majina ya Wanafunzi wataopewa mikopo. Wanafunzi wataopewa mikopo kwenye orodha ya kwanza ni Wanafunzi 10,196 kati ya 30,000 wanaotarajiwa kunufaika na mikopo ya elimu ya juu […] Read more from millardayo.com

BREAKING: Kocha msaidizi Jackson Mayanja amejiuzulu Simba SC | Millardayo

Wekundu wa Msimbazi SimbaSC wakielekea mchezo wao wa saba wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018 dhidi ya Njombe Mji, zimeripotiwa taarifa za kuhuzunisha kuhusu kocha wao msaidizi Mganda Jackson Mayanja kujiuzulu. Mayanja ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo ya ukocha msaidizi ndani ya Simba huku sababu zikitajwa kuwa ni zake binafsi na wala hakuna kingine […] Read more from millardayo.com

Kutana na Mfetua Tofali alieshinda Tsh. milioni 55.. “sitoisahau ile elfu 1” | Millardayo

Wanasema kwenye maisha ya sasa chochote kinachokuja mbele yako usikichukulie poa na ni bora ujaribu kukipata ukikose kuliko kuacha kujaribu alafu kumbe ungeweza kushinda kabisa. Kutana na Juma Athumani, kijana wa Kitanzania ambae ameajiriwa kwenye kijiwe cha kufetua tofali, alijikuta tu anazo shilingi elfu 3 kwenye simu yake na akaamua kujinyima na kutoa shilingi elfu […] Read more from millardayo.com

BREAKING: Meneja wa Peacock Hotel akamatwa na Polisi Dsm kwa kutoa ukumbi | Millardayo

Tunae Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Polisi Dar es salaam Lazaro Benedict Mambosasa ambae ametangaza kukamatwa kwa Meneja wa Hoteli ya Peacock Dar es salaam. Namnukuu Kamanda Mambo sasa akisema “Tumewakamata Wahalifu wengine wa aina yake pale Peacock ambao wanahamasisha ushoga hapa nchini, Wahusika hao kuna raia wa South Africa, Waganda na Watanzania” “Kwa […] Read more from millardayo.com

“Wanasiasa sio Wakombozi, Wananchi watajikomboa wenyewe” – ACT | Millardayo

Chama cha ACT WAZALENDO kimewaita Waandishi wa Habari kwenye ofisi zao leo Dar es salaam na kuongelea mazito mbalimbali ya nchi na chama chenyewe ikiwemo kujibu maswali kuhusu Viongozi waliojiuzulu nafasi zao na kujitoa ACT. Tundu Lissu atoka ICU, aliona jua kwa mara ya kwanza toka alipopigwa risasi… bonyeza play hapa chini kumtazama Read more from millardayo.com

LIVE: Jeshi la Polisi Dar es salaam linazungumza na Waandishi wa habari | Millardayo

AyoTV ipo na wewe wakati wote kukuletea matukio ya moja kwa moja (LIVE) na sasa AyoTV ipo live kutoka kwenye makao ya Polisi Dar es salaam… bonyeza play hapa chini kutazama live kila kinachosemwa . Read more from millardayo.com

Hatimae Mbao FC imepata Basi lao wenyewe… gharama yake ni milioni 70 ( +picha 6 ) | Millardayo

Kwa timu yoyote ile ni muhimu kuwa na Basi lao wenyewe, hiyo itasababisha Wachezaji kusafiri kwa urahisi zaidi pamoja na kupunguza gharama za kupanda ndege au kukodi Basi jingine. Club ya soka ya Mbao FC leo Jumatano ya October 18 2017 imekabidhiwa mbele ya Naibu Waziri wa ardhi Angelina Mabula basi ambalo watalitumia katika safari […] Read more from millardayo.com

Maneno ya Jackline Wolper baada ya kuusikia wimbo mpya wa Harmonize | Millardayo

Mapenzi yanapoisha na uhusiano kuvunjika huwa inaumiza na hiyo inapelekea wengine kuwekeana kinyongo, kutosalimiana au kutotaka kabisa hata kumsikia mwenzake. Wolper aliwahi kusema kwenye Interview na ON AIR WITH MILLARD AYO kwamba huwa hapendi kumkumbuka na kumpa nafasi Mwanaume alieachana nae haswa Mwanaume aliempenda kisawasawa ila inaonekana sasa hivi maumivu yameondoka na hana kinyongo na Harmonize. […] Read more from millardayo.com

KASHESHE: Mwenyekiti anaedaiwa kugawa viwanja kwa Wanawake wenye makalio makubwa aongea | Millardayo

Ni habari iliyosambaa sana kutoka Dodoma kuhusu Mwenyekiti wa Mtaa wa Mtakuja kata ya Chang’ombe Issa Yusuph kudaiwa kufanya upendeleo na kugawa viwanja kwa Wanawake wenye makalio makubwa. AyoTV na millardayo.com zimempata Mwenyekiti huyo na ameanza kwa kusema >>> “Kwanza ukweli kabisa mimi sigawi viwanja bali nasimamia haki za watu ili wapate Wananchi, wanaogawa ni […] Read more from millardayo.com

FURSA MBEYA: Ruge aelezea kinachowafelisha Watanzania kila siku | Millardayo

“Acheni kufanya biashara za kuuza vitumbua ili upeleke mtoto wako shule…. fanya biashara ya vitumbua kwasababu unataka baada ya muda uuze vitumbua nchi nzima, nataka uwaze kama Azam” Ruge Mutahaba ameanza kwa kuongea maneno hayo. Fursa 2017 ilikuwa zamu ya Mbeya October 17, 2017 ambapo Watu wa Mbeya walipata darasa la bure kabisa kuhusu namna […] Read more from millardayo.com

Kilichofanya Naibu Spika Dr. Tulia atoe milioni 40 Mbeya | Millardayo

Hii imetoka kwenye jiji la Mbeya ambalo linaongozwa na Amos Makalla kama Mkuu wa mkoa ambapo taarifa ya leo muhusika mkuu ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson. Dr. Tulia ameitembelea tena Mbeya na kwa kupitia TULIA TRUST akatoa shilingi milioni 40 baada ya kuumizwa sana moyo na hali aliyoikuta […] Read more from millardayo.com

Hamisa Mobetto na Vera Sidika warushiana maneno mitandaoni | Millardayo

Moja ya habari za mitandaoni ni pamoja na kurushiana maneno kwa Mrembo wa Tanzania Hamisa Mobetto na Mrembo wa Kenya Vera Sidika ikiwa ni baada ya Hamisa kumchukua video Vera pasipo yeye mwenyewe kufahamu jambo lililomkasirisha…. tazama zaidi hapa chini na video yenyewe Ulipitwa na hii? HAMISSA MOBETTO ALIVYOINGIA KWENYE PARTY Read more from millardayo.com

Popular This Month

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA | VIJIMAMBO

MBUNGE SINGIDA MAGHARIBI ELIBARIKI KINGU (CCM) AWEKA HISTORIA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

Wasanii watakaokiwasha Tigo Fiesta jijini Mwanza watembelea Duka la Tigo leo. | Mrisho’s Photography

“Ukipata mshtuko wa moyo, usipopata huduma ndani ya dk 90 ni kifo” – JKCI | Millardayo

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

Majeshi ya Iraq yapiga hatua kuishambulia IS

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya