Boss wa Shule iliyozawadia Wanafunzi magari kaongea kwanini kafanya hivyo | Millardayo
Jina lake ni Injinia Chacha Wambura ambae ni Mkurugenzi wa shule za Waja ambae leo ameamua kuweka wazi kwanini ametoa zawadi za gari kwa Wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa. “Kwanini hatukumpa hela, kumlipia ada au kufanya kitu kingine na sio kumpa gari, Mwanafunzi mwenyewe anakwambia kitu atachokifurahia na kuona amejaliwa ni zawadi ambayo inakwenda moja kwa […]
Read more from millardayo.com
Read more from millardayo.com
Comments