MBUNGE SINGIDA MAGHARIBI ELIBARIKI KINGU (CCM) AWEKA HISTORIA | Darmpya
Minyughe-Ikungi, SINGIDA. Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi mkoani Singida, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Elibariki Kingu, ameonekana kuwa Kiongozi makini anayejali maslahi ya wananchi wa Jimbo, Wilaya, Mkoa na Taifa kwa ujumla katika kipindi kifupi cha utendaji wake tangu alipochaguliwa na wananchi Octoba 25, 2015. Mhe. Kingu amevunja historia kwa kuwapelekea maendeleo...
from Dar Mpya Online TV
Comments