IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya
Dar Es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema kwenye suala la hali ya usalama, nchi yetu iko salama licha ya kuwepo matukio kadhaa ya kiuhalifu, hii ni kufuatia tukio la mfanyabiashara MO kutekwa na watu wasiojulikana wiki moja sasa. Kauli hiyo ameitoa leo Oktoba 19, 2018, mapema asubuhi wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es salaam, juu ya matukio mbalimbali yanayojitokeza hapa nchini. “Tumefanya operesheni nchi nzima kuanzia mwezi Machi hadi Oktoba na kukamata magari 12 yalioibwa, na magari yote… Source from Dar Mpya Online TV
Comments