Posts

Showing posts with the label AutoMedia Tanzania

Liverpool wafanikiwa kumpata Naby Keita lakini watasubiri hadi 2018 huku Thomas Lemar naye akiwa njiani | Kicki_19

Share Baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya vilabu vya Liverpool na RB Leizpg hatimaye Liverpool wamefanikiwa kukubaliana na klabu hiyo kumnunua kiungo huyo. Rb Leizpg walikataa ofa mbili ambapo moja inafahamika ilifikia kiasi cha £70m lakini sasa wamekubali kumtoa Keita kwenda Liverpool kwa ada ya £48m. Hii ni rekodi mpya ya usajili katika klabu ya Liverpool baada ya ile ya Andy Caroll mwaka 2011 ambapo alisaini Liverpool kwa kiasi cha £35. Lakini klabu hiyo ya Liverpool haitamtumia Keita hadi itakapofika mwezi July mwaka 2018, Leizpg wanataka kubaki na Keita katika msimu huu ambapo wapo katika michuano ya Champions League. Huu ni usajili wa tatu kwa Liverpool kuufanya katika msimu huu wa ligi ambapo tayari walimnunua Mohamed Salah toka As Roma pamoja na Andrew Robertson toka Hull City. Wakati Keita akielekea Liverpool klabu hiyo inatajwa kukaribia kukamilisha usajili wa kiungo Thomas Lemar ambapo inasemekana mabosi wanapambana ukamilike kabla ya tarehe ya mwisho ya usajili. ...

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO | Pamoja Blog

Image
Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017 . Wengine ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora)Mhe. Angela Kairuki, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dr. Laurean Ndumbaro, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola, na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa TAKUKURU Bw. Alex Mfungo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

Serikali ya DRC yapoteza askari 2, wengine 3 kujeruhiwa katika shambulizi la Mai Mai |

Image
Share Askari wawili wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameuawa na wengine wa 3 kujiruhiwa katika mapigano makali yaliotokea Jumatatu saa za asubui. READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More

JIACHIE: WATANZANIA TUENDELEE KUICHANGIA TAASISI YA JKCI: DKT.TULIA | Ahmad Michuzi

Image
Share Na Agness Moshi na Bushiri Matenda –MAELEZO. Watanzania na wadau  mbalimbali wa sekta ya Afya nchini wameombwa kuendelea  kuisaidia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ili iendelee kufanya kazi kwa ufanisi na kutoa huduma bora.  Hayo yamesemwa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Mfuko wa Tulia Trust Mhe.Tulia Akson, wakati akikabidhi msaada  runinga nne na katoni mbili za maziwa vyenye thamani ya  shilingi 1,000,000 vilivyotolewa kwa watoto waliopo kwenye  Taasisi hiyo kwa  ushirikiano na Dstv, TSN na Kampuni ya Twincity.  Dkt.Tulia amesema msaada  wa runinga unatimiza ahadi waliohaidi kwa taasisi hiyo na unamaana kubwa sana kwa sababu utawasaidia watoto wanaokaa hospitalini hapo kwa muda mrefu  kujifunza ,na kuwaburudisha  kwa kipindi chote cha matibabu ya awali  kabla ya kufanyiwa upasuaji. “Watoto hawa wanakaa muda mrefu hospitalini wakitibiwa hivyo wanashindw...

USAJILI: Tetesi za usajili barani Ulaya | Contributor

Image
Share Klabu ya Chelsea inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza wana uhakika wa kukamilisha uhamisho wa pauni milioni 30 wa kiungo wa Leicester City, Danny Drinkwater mwenye umri wa miaka 27, kabla ya dirisha la usajili kufungwa. (Daily Telegraph) Manchester City wapo tayari kuwapa Arsenal pauni milioni 70 pamoja na beki, Jason Denayer ili kumsajili, Alexis Sanchez mwenye umri wa miaka 28. (Daily Star)   Manchester City wanajiandaa kupanda dau kumtaka mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre Emerick Aubameyang iwapo watashindwa kumsajili Alexis Sanchez. (Le10Sport) Leicester City wamepanda dau la pauni milioni 23, kutaka kumsajili beki wa West Brom, Jonny Evans mwenye umri wa miaka 29. (BBC) Hatma ya meneja wa Crystal Palace iko mashakani baada ya kupoteza mechi tatu za EPL. (Guardian) Meneja wa West Ham, Slaven Bilic anapambana vikali kulinda kazi yake baada ya kupoteza mechi tatu za mwanzo za EPL. (Sun) Liverpool wamemuulizia kiungo wa Monaco, Thomas Lemar mwenye umri wa...

MBUNGE MSUKUMA: Kamjibu tena Lissu kuhusu mgomo wa Mawakili | Makoleko TZA

Share Siku moja baada ya Rais wa TLS na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kutoa wito kwa Mawakili wote ambao ni Wanachama wa chama hicho kususia shughuli za Mahakama, Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma amejitokeza na kumpinga. Licha ya kusikitishwa na kitendo cha kuvamiwa na kulipuliwa kwa Ofisi za IMMMA Advocates, Msukuma amesema kitendo […] READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More

#DStvMVCA Performance and Winners | AutoMedia Tanzania

Image
Share Hosted by Bonang Matheba, the inaugural DStv Mzansi Viewers’ Choice Awards (DStvMVCA) broadcast live on Saturday 26 August on Mzansi Magic, DStv Channel 161. Red carpet kicked off at 19:30 and the show – which had artists like AKA, Cassper Nyovest and Hugh Masekela on the lineup – started at 20:30. Here is the full list of the winners   for the 2017 #DstvMVCA SONG OF THE YEAR: Prince Kaybee – Charlotte TV PRESENTER: Thembisa Mdoda COMEDIAN: Summary RISING STAR: Sjava RADIO PERSONALITY: B2Cada ACTOR: Themba Ndaba ACTRESS: Vatiswa Ndara MUSIC ARTIST OR GROUP: Kwesta DJ: Black Coffee SPORTS PERSONALITY: Caster Semenya ULTIMATE VIEWERS’ CHOICE: Thembisa Mdoda Lady Zamar and Zodwa Wabantu opened the #DStvMVCA with a BANG! Cassper Nyovest and Tshedi Moholo perform Destiny Best vs Worst Dressed at the DSTV Viewers Choice Awards #DStvMVCA: Final Performance #DStvMVCA Performance and Winners Appeared On First On Hitvibes Download link Share from AutoMedia Ta...

Ali Kiba Ataja Sababu ya Wimbo Wake Mpya Kupokelewa Vizuri | Emmanuel Shilatu

Image
Share Msanii wa Bongo Fleva Nchini Ali Kiba amefunguka juu ya siri inayomfanya awe anapata mapokezi makubwa kwa mashabiki wake  kila anapotoa kazi mpya kuwa ni kazi nzuri ambazo amekuwa akizifanya. Akizungumza Juma tatu hii ndani ya ‘Planet Bongo’ya East Africa Radio,Ali Kiba  alifunguka kuwa kazi nzuri ndio zinazomfanya awe anapata mapokeo makubwa sana kutoka kwa mashabiki wa muziki wake na wala si kitu kingine kama ambavyo imezoeleka kwa baadhi ya wasanii walio wengi kutumia ‘kiki’ kwa ajili ya kupata mapokeo makubwa ya kazi zao. ‘’Mi nafanya kazi nzuri ndio mana mapokeo ya kazi zangu kwa mashabiki yanakuwa makubwa na sio kitu kingine ninacho kifanya katika kazi yangu zaidi ya kufanya kazi nzuri’’ alisema Ali kiba. Ali Kiba ameanza rasmi kufanya ziara katika vyombo mbali mbali vya habari kwa ajiri ya kuutambulisha wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ ambao unatamba sana kwa sasa huku akiongozana na mtayarishaji wa kazi hiyo ‘Man Walter’ kutoka katika studio za Combination So...

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI LA NCHI ZA UMOJA WA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA KUJADILI UDHIBITI UTAKASISHAJI FEDHA HARAMU | Pamoja Blog

Share READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More

NIC Bank yakabidhi magari Matatu kati ya Sita Kwa Mteja wake kama Mkopo | John Hans Badi

Share Meneja mahusiano kwa wateja wakubwa wa benki ya NIC Tanzania, Woinde Murro(kulia) akizungumza jambo na mmoja wa wateja waliofika kwaajili ya kukabidhiwa magari makubwa ikiwa awamu ya kwanza ya mkopo wa Magari Sita ambapo leo amepokea magari matatu na matela matatu Meneja mahusiano kwa wateja wakubwa wa benki ya NIC Tanzania, Woinde Murro(kulia) akimkabidhi funguo  Mkurugenzi wa kampuni READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More

Bulaya Aruhusiwa Kutoka Muhimbili | Bigie

Image
Share Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya (Chadema) ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa takribani wiki moja. Bulaya alikimbizwa Muhimbili kutoka tarime mkoani Mara baada ya kupata tatizo la kupumua baada ya kuzidiwa akiwa mahabusu ya kituo cha polisi mjini Tarime. Alikuwa amelazwa wodi namba 18 katika jengo la Sewahaji akipatiwa matibabu. Mbunge huyo wa Chadema, leo Agosti 28 ameruhusiwa kutoka hospitali na amewashukuru madaktari wa Muhimbili kwa kumpatia matibabu ya kina. Amesema afya yake imetengemaa lakini amepewa maelekezo kadhaa. “Kwanza nitapumzika kwa siku 10, hivyo ndivyo nilivyoagizwa na nitatakiwa kurudi tena hospitalini kwa ajili ya kuangaliwa afya yangu zaidi. Kwa sasa nitapumzika kabla ya kurudi jimboni kuendelea  na shughuli za maendeleo,” amesema Bulaya. Bulaya aliwekwa rumande Agosti 18 baada ya kukamatwa na polisi akidaiwa kuingia jimbo la Tarime kufanya shughuli za kisiasa kwa kutoa msaada wa mifuko 50 ya sar...

UBA Delivers Stellar Performance in Half-Year 2017, Grows Profit by 66% – Full Shangwe Blog | Alex

Image
Share …………Declares 0.065 cent Per Share Interim Dividend                                    …………..African Subsidiaries Contribute 32% of the Group’s Earnings Lagos, Nigeria – August 24, 2017 – The  Pan African financial institution,  United Bank for Africa (UBA) Plc has announced its audited half year financial results ended June 30, 2017, showing remarkable performance across major metrics. UBA grew its gross earnings for the period by 34.5 percent to USD0.73 billion, as against USD0.54 billion reported in June 2016. This impressive performance, which reflects the strong momentum of UBA’s business and its increasing share of customers’ wallet, was driven by the 44.3 per cent and 16.0 per cent growth in interest income and non-funded income respectively. The Group’s operating income stood at...

Rais Dkt. Magufuli atembelea Makao makuu ya TAKUKURU Dar | Andrew Chale

Image
Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kuzungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017 ambapo pia tukio hilo wakiwemo viongozi waandamizi akiwemo Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora)Mhe. Angela Kairuki,  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dr. Laurean Ndumbaro, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola, na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa TAKUKURU Bw. Alex Mfungo pamoja na wafanyakazi wa Taasisi hiyo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017 .  Wengine ni  Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora)Mhe. Angela Kairuki,...

Rais Magufuli atembelea TAKUKURU na kutoa maagizo kuhusu kesi za rushwa | habari

Image
Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU ) kutokuwa na kigugumizi cha kuchukua hatua pale wanapokuwa na ushahidi dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo vya rushwa. Mhe. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo tarehe 28 Agosti, 2017 alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa TAKUKURU katika ofisi za makao makuu ya taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. “Kuna mambo mengi ya hovyo yanafanyika, tumehakiki pembejeo za ruzuku na kubaini madai ya Shilingi Bilioni 48 ni hewa, tumebaini wafanyakazi hewa zaidi ya 19,500, tumebaini kaya masikini hewa 56,000 zilizopaswa kupata fedha TASAF, tumebaini wanafunzi hewa 5,850 waliotakiwa kupata mkopo, kuna vichwa vya treni 11 vimeletwa bila kuwepo mkataba na mengine mengi, haya yote yanafanyika kwa rushwa, nataka kuwaona mnachukua hatua stahiki” amesema Mhe. Rais Magufuli. Mhe. Rais Magufuli amesema ana imani na TAKUKURU na amewataka wafanyakaz...

Trap King (Freestyle) by Wizkid ft. Omar Sterling – Mp3 Download | AutoMedia Tanzania

Share Trap King (Freestyle) by Wizkid ft. Omar Sterling – Mp3 Download The post Trap King (Freestyle) by Wizkid ft. Omar Sterling – Mp3 Download appeared first on Ugblizz Music . Download link Share from AutoMedia Tanzania via Read More

Mkojo waonesha Masogange anatumia dawa za kulevya | Emmanuel Shilatu

Image
Share Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepokea taarifa ya mkemia wa serikali iliyoonesha kwamba sampuli ya mkojo wa Video Queen, Agnes Gerald “Masogange” una chembechembe za dawa za kulevya. Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema leo kwamba pingamizi la upande wa utetezi kuwa fomu zilizopelekwa kwa mkemia hazikufata sheria limetupiliwa mbali na mahakama imepokea taarifa hiyo ambayo itatumika kama ushahidi. Amesema shahidi wa kwanza ambaye ni Elia Mulima anahaki ya kuandaa ripoti, kupima sampuli na kutoa ripoti mahakamani. Pia amesema Polisi walipeleka maombi kwa mkemia wa serikali na kwamba ni wazi mshitakiwa alienda kwa mkemia na askari wawili na kumpatia kontena kwa ajili ya kuweka sampuli ya mkojo. Mpelelezi kutoka Ofisi ya Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, WP Judith ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuwa alishuhudia Masogange akitoa sampuli ya mkojo kwa kuwa alisimama mlangoni. Amedai kuwa alipewa chupa ya plastiki yenye namba ya maabara 446/2017 na...

Rais Magufuli Atoa MAAGIZO Mazito TAKUKURU | Bigie

Image
Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutokuwa na kigugumizi cha kuchukua hatua pale wanapokuwa na ushahidi dhidi ya watu wanaojihusisha na vitendo vya rushwa. Mhe. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo  tarehe 28 Agosti, 2017 alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa TAKUKURU katika ofisi za makao makuu ya taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. “Kuna mambo mengi ya hovyo yanafanyika, tumehakiki pembejeo za ruzuku na kubaini madai ya Shilingi Bilioni 48 ni hewa, tumebaini wafanyakazi hewa zaidi ya 19,500, tumebaini kaya masikini hewa 56,000 zilizopaswa kupata fedha TASAF, tumebaini wanafunzi hewa 5,850 waliotakiwa kupata mkopo, kuna vichwa vya treni 11 vimeletwa bila kuwepo mkataba na mengine mengi, haya yote yanafanyika kwa rushwa, nataka kuwaona mnachukua hatua stahiki” amesema Mhe. Rais Magufuli. Mhe. Rais Magufuli amesema ana imani na TAKUKURU na amewataka wafanya...

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO | noreply@blogger.com (Muhidin Sufiani)

Image
Share   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017 .  Wengine ni   Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora)Mhe. Angela Kairuki,    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dr. Laurean Ndumbaro,  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola, na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa TAKUKURU Bw. Alex Mfungo. READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More

KAMATI YA BAJETI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELEA MIRADI YA MAXCOM AFRICA KATIKA VITUO VYA DART. | Othman Michuzi

Image
Share  Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa haabari juu ya ziara yao ya kutembelea mradi wa ukusanyaji fedha katika kituo cha Feri cha mabasi yaendayo Haraka.  Mkurugenzi wa Kampuni ya Max Com Africa Juma Rajabu  akimuonyesha Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia namna ya  mfumo wa kutumia kadi unavyo fanya kazi katika vituo vya Mabasi yaendayo haraka katika kituo cha Mabasi ya haraka cha Feri jijini Dar es Salaam.   Kaimu Mtendaji Mkuu DART, Ronald Lwakatare, akifafanua Jambo kwa wabunge  wa kamati ya Bajeti walipotembelea Mradi wa ukusanyaji mapato wa Max Malipo katika Vituo vya Mabasi ya Endayo Haraka. KWA PICHA ZIADI BOFYA HAPA. READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More

UBA DELIVERS STELLAR PERFORMANCE IN HALF-YEAR 2017, GROWS PROFIT BY 66% | noreply@blogger.com (Malunde)

Image
Share Lagos, Nigeria – August 24, 2017 – The Pan African financial institution, United Bank for Africa (UBA) Plc has announced its audited half year financial results ended June 30, 2017, showing remarkable performance across major metrics. UBA grew its gross earnings for the period by 34.5 percent to USD0.73 billion, as against USD0.54 billion reported in June 2016.  This impressive performance, which reflects the strong momentum of UBA’s business and its increasing share of customers’ wallet, was driven by the 44.3 per cent and 16.0 per cent growth in interest income and non-funded income respectively.  The Group’s operating income stood at USD0.53 billion, compared to USD0.38 billion recorded in the corresponding period of 2016, representing a 39.2 percent growth.  Notwithstanding the impact of Naira devaluation and double digit inflation in Nigeria and a number of other African countries where UBA operates, the Group managed through its cost lines to deli...

Popular This Month

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA | VIJIMAMBO

MBUNGE SINGIDA MAGHARIBI ELIBARIKI KINGU (CCM) AWEKA HISTORIA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

Wasanii watakaokiwasha Tigo Fiesta jijini Mwanza watembelea Duka la Tigo leo. | Mrisho’s Photography

“Ukipata mshtuko wa moyo, usipopata huduma ndani ya dk 90 ni kifo” – JKCI | Millardayo

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

Majeshi ya Iraq yapiga hatua kuishambulia IS

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya