KAMATI YA BAJETI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELEA MIRADI YA MAXCOM AFRICA KATIKA VITUO VYA DART. | Othman Michuzi
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa haabari juu ya ziara yao ya kutembelea mradi wa ukusanyaji fedha katika kituo cha Feri cha mabasi yaendayo Haraka.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Max Com Africa Juma Rajabu akimuonyesha Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia namna ya mfumo wa kutumia kadi unavyo fanya kazi katika vituo vya Mabasi yaendayo haraka katika kituo cha Mabasi ya haraka cha Feri jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mtendaji Mkuu DART, Ronald Lwakatare, akifafanua Jambo kwa wabunge wa kamati ya Bajeti walipotembelea Mradi wa ukusanyaji mapato wa Max Malipo katika Vituo vya Mabasi ya Endayo Haraka.
from AutoMedia Tanzania
via Read More
Comments