FIESTA 2017 ndio imetengeneza gumzo la Diamond na Alikiba? | Millardayo
Moja ya story iliyopo mtaani kuhusu Alikiba na Diamond kuhusu kurushiana maneno kwenye mitandao na nyimbo inadaiwa kuwa imetegenezwa kwa ajili ya msimu mpya wa Fiesta 2017 ndio maana imekkuwa kubwa. Sasa Ayo TV na millardayo .com zimempata Mwenyekiti wa Fiesta 2017, Sebastian Maganga ambaye amezungumza kuhusu kinachoendelea juu Alikiba na Diamond na ishu yao […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments