BAD NEWS: Mwanamke tajiri zaidi duniani afariki dunia | Millardayo
Mwanamke anayetajwa kuwa tajiri zaidi duniani ambaye na mrithi wa Kampuni ya L’Oreal Ufaransa, Liliane Betterncourt amefariki dunia akiwa na miaka 94. Liliane ambaye utajiri wake ulitajwa na jarida Forbes na Orodha ya Matajiri Duniani (Bloomberg Billionaire Index) kuwa ni wa Dola za Marekani bilioni 44 sawa na Shilingi trilioni 105.6, amefariki nyumbani kwake lakini kumekua […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments