Posts

Showing posts with the label IFTTT

Makubwa ya Magazeti ya TZ leo September 27.. Udaku, Michezo na Hardnews | Millardayo

Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo September 27 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa BREAKING: FREEMAN MBOWE karudi Dar, aongea yote ya Tundu Lissu from millardayo.com

Real Madrid imeiadhibu Dortmund, Ronaldo akiendeleza rekodi | Millardayo

Usiku wa September 26 2017 michezo nane ya UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 ilichezwa barani Ulaya, moja kati ya mchezo wa kuvutia ulikuwa ni mchezo kati ya Borussia Dortmund dhidi ya Real Madrid ya Hispania ambao walikuwa ugenini. Real Madrid leo wakiwa ugenini wamefanikiwa kupata ushindi wa pili wa Champions League wa magoli 3-1 […] from millardayo.com

OFFICIAL: Diego Costa ameondoka Chelsea | Millardayo

Staa wa soka wa kimataifa wa Hispania mwenye asili ya Brazil Diego Costa usiku wa September 26 2017 amefanikiwa kusaini mkataba wa kurejea Atletico Madrid kwa mara nyingine tena akitokea Chelsea. Diego Costa tayari amepewa jezi namba 18 na Atletico Madrid hivyo tutaanza kumuona akiivaa rasmi mwezi January 1 atakapoanza kuichezea katika mechi za mashindano, […] from millardayo.com

AJALI! Basi la Tashrif lateketea kwa moto Tanga | Millardayo

Basi la Kampuni ya Tashrif limeteketea kwa moto leo September 26, 2017 katika ajali iliyotokea Pongwe, Tanga wakati likiwa katika safari zake, hakuna taarifa zozote za madhara kwa abiria wala mizigo yao. WATU WASIOJULIKANA: “Dakika zao zinahesabika” – Mwigulu from millardayo.com

BREAKING: Dr Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Mara | Millardayo

Naibu Waziri wa Afya Dr. Kigwangalla amefanya ziara ya kushtukiza usiku huu katika Hospitali ya Mkoa wa Mara na kutembelea Chumba cha upasuaji ambako alikutana hali isiyoridhisha ikiwemo uchafu na mpangilio mbovu wa vifaa vya upasuaji. Chumba cha Upasuaji cha Hospitali hiyo kimebainika kuwa na matatizo mbalimbali licha ya kuwa na umri wa mwaka mmoja […] from millardayo.com

“Wahitimu msisubiri makampuni makubwa yawaajiri” – Restless | Millardayo

Leo September 26, 2017 shirika la Restless Development limewaleta pamoja vijana wa Tanzania ili kuwafundisha namna bora ya kutumia rasilimali za nchi ili kujitengenezea fursa za ajira Afisa Uhusiano na Masoko wa shirika hilo James Mwala ametoa wito kwa vijana hususani wahitimu wa vyuo kutosubiri kupata ajira kwenye mashirika makubwa badala yake watumie rasilimali zinazo […] from millardayo.com

FIESTA MWANZA: Fid Q alivyo-perform wimbo wa ‘Fresh’ Live kwenye Stage | Millardayo

Burudani nyingine kwenye jukwa la Fiesta Mwanza siku ya September 23, 2017 ilikuwa inatoka kwa msanii ambaye ni mwenyeji wa Jiji la Mwanza anayefanya muziki wa Hip Hop, Fid Q ambapo na yeye alipata nafasi ya kutoa burudani kwa wakazi wa Mwanza na hichi ndicho alichofanya wakati ana-perform wimbo wake wa ‘Fresh’. Bonyeza PLAY hapa chini […] from millardayo.com

VIDEO: Ommy Dimpoz FIESTA MWANZA 2017 | Millardayo

Staa Ommy Dimpoz amekuwa miongoni mwa wasanii walioperform kwenye stage ya fiesta Mwanza usiku wa September 23, 2017 siku ambayo ilikuwa mara ya kwanza kuonesha video mpya ya wimbo wake wa ‘Cheche’ katika stage na kisha baadae kuiachia kwenye Youtube chanel yake. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama show nzima ya Ommy Dimpoz LULU DIVA KAFUNGUKA: […] from millardayo.com

UTENDAJI WA RAIS JPM: Wazee Kagera waongea | Millardayo

Umoja wa Wazee Mkoa wa Kagera umetoa tamko lao juu ya utendaji wa Rais Magufuli kwa miaka miwili tangu alipoingia madarakani mpaka baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa 2015. Kupitia kwa Mwenyekiti wa Umoja huo, Joseph Masabara wamempongeza Rais Magufuli kwa kazi kubwa anayoifanya ya kupambana na ufisadi katika Taifa ikiwa ni pamoja na mpango […] from millardayo.com

TEKNOLOJIA: Wadau wa ardhi, kuna hii ya kufahamu | Millardayo

Leo september 26, 2017 Serikali ya Tanzania pamoja na ya serikali ya Korea kwa pamoja zimezindua mfumo mpya wa kuhifadhi nyaraka za umiliki wa ardhi kwa njia ya kielektoniki nchini. Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Ardhi Angeline Mabula mfumo huu utasaidia kwa kiwango kikubwa kutatua migogoro ya ardhi na hii ni kutokana na namna […] from millardayo.com

KIJANA YOYOTE MTANZANIA: Hakikisha umetazama hii | Millardayo

Kampuni ya Vodacom imezindua huduma mpya ya simu iitwayo ‘Pindua Pindua’ ambayo iko kwenye mfumo wa units utakao muwezesha mteja kupata kifurushi ambacho kitatumika kwa ajili ya matumizi yoyote bila kikomo. Pindua pindua itamwezesha mtu kupiga simu, kuperuzi mitandaoni akiwa pia anapata Whatsapp, Facebook na sms bure. Bonyeza play kutazama video hii!!! Ulipitwa na hii? […] from millardayo.com

MAHAKAMANI! Yote ya Mwanzilishi wa Jamii FORUMS September 26 | Millardayo

Leo September 26, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeukubalia upande wa mashtaka kuifanyia marekebisho hati ya mashtaka katika kesi ya kuzuia Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi, inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forum, Maxence Melo (40) na mwenzake. Mbali ya Melo mshtakiwa mwingine ni Mwanahisa wa  mtandao huo, Mike Mushi. Ombi hilo limekubaliwa, baada […] from millardayo.com

Kijana yeyote Mtanzania, ukipata muda itazame hii video | Millardayo

Ni jambo zuri kuona kila siku kuna Wabunifu au kuna watu wanakaa wanaumiza vichwa vyao kuhakikisha Watanzania wengine wanapata unafuu wa maisha. VIDEO: Watanzania… kuongea na simu kwa zaidi ya dakika 6 ni HATARI…. bonyeza play hapa chini kufahamu zaidi from millardayo.com

“Ni hatari sana kiafya kuongea kwa simu zaidi ya dk 6”: Prof Sigalla | Millardayo

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Prof Normani Sigalla amesema kitalaamu madhara ya kusikiliza simu ni makubwa kuliko madhara yanayopatikana kwenye minara ya simu iliyowekwa eneo husika kwa wakazi wa eneo hilo. “Kama wewe ni msikilizaji wa simu kwa muda mrefu, tunashauri ujenge utaratibu wa kutumia vifaa vya kusikilizia kama kama earphone […] from millardayo.com

DAKTARI KEKO! Kaeleza Manji alivyotetemeka na kuzimia Mahabusu | Millardayo

Daktari Mfawidhi wa Gereza la Keko, Inspekta Eliud Mwakawanga leo September 26, 2017 ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi maisha ya mfanyabiashara Yusuf Manji yalivyokuwa gerezani, akisema alikuwa anatumia vidonge kati ya 25 mpaka 30 kwa siku. Inspekta Mwakawanga amedai walikuwa wakimpatia dawa hizo iwapo akisikia maumivu hasa ya mgongo na kuna kipindi anachoamka […] from millardayo.com

PICHA: SportPesa walipofikia ukarabati wa pitch ya uwanja wa Taifa | Millardayo

Kwa takribani mwezi mmoja sasa, uwanja wa Taifa umekuwa kwenye matengenezo ya sehemu ya kuchezea. Mara ya mwisho uwanja huo umetumika kwenye mechi ya Ngao ya jamii ya watani wa jadi Simba na Yanga August 23 na kesho yake nyasi za uwanja huo zilifumuliwa na kuanza matengenezo rasmi. Uwanja huo umeingia kwenye awamu ya pili ya […] from millardayo.com

BREAKING NEWS! Mahakama kutoa hukumu kesi ya Manji Oct 6 | Millardayo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu kesi ya dawa za kulevya inayomkabili mfanyabiashara Yusuf Manji, October 6, 2017 baada ya upande wa utetezi kufunga ushahidi wake wa mashahidi saba. Hatua hiyo inatokana na Wakili wa Manji, Hajra Mungula kumueleza Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha kwamba wamefunga ushahidi wao wa mashahidi saba ambapo baada ya kueleza […] from millardayo.com

SHAHIDI: “Nashangaa kusikia Manji anatumia Dawa za Kulevya” | Millardayo

Jumanne, September 26, 2017 Kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Mfanyabiashara Yusuf Manji imeendelea kwa siku ya pili kati ya tatu za kusikiliza ushahidi mfululizo ambapo leo umetolewa ushahidi wa mashahidi watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Katika kesi hiyo, shahidi wa tano, Maria Rugalabumu (63) amemueleza Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha kuwa yeye ni […] from millardayo.com

Chombo cha habari Afrika Kusini chamwangukia mke wa zamani wa Zuma…..kisa? | Millardayo

Shirika ya Utangazaji la Umma Afrika Kusini (SABC) imeomba msamaha kwa mwanasiasa  Nkosazana Dlamini-Zuma, kwa kumzungumzia kama mke wa zamani wa Rais wanchi hiyo Jacob Zuma. Japokuwa ni kweli mwanasiasa huyu ni mke wa zamani wa Rais Zuma amechukizwa vikali na kutambuliwa hivyo na chombo hicho cha habari badala ya kutambuliwa kama mwanasiasa jambo alilosema ni […] from millardayo.com

Uchunguzi dhidi ya Mhudumu wa Ndege aliyewabagua abiria, umeanza | Millardayo

BRITISH Airways imeanzisha uchunguzi dhidi ya video inayomuonesha mmoja wa watumishi wake wa kike wa Ndege akitoa lugha ya kibaguzi kwa abiria wakati ndege hiyo ikifanya safari kuelekea Nigeria. Mwanamke huyo, akiwa katika sare ya BA, alijirekodi video hiyo muda mfupi akijiandaa kwa safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Heathrow, London kwenda Abuja, Nigeria, Ijumaa […] from millardayo.com

Popular This Month

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATES NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI | MICHUZI BLOG

HISTORIA YA WANGONI NA LILIPOTOKA JINA LA SONGEA | noreply@blogger.com (Lewis Mbonde)

Dubai yazindua jengo refu zaidi duniani lenye ghorofa 75 | Darmpya

Birdman wa CashMoney anakuja Tanzania | Millardayo

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya