DAKTARI KEKO! Kaeleza Manji alivyotetemeka na kuzimia Mahabusu | Millardayo
Daktari Mfawidhi wa Gereza la Keko, Inspekta Eliud Mwakawanga leo September 26, 2017 ameileza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi maisha ya mfanyabiashara Yusuf Manji yalivyokuwa gerezani, akisema alikuwa anatumia vidonge kati ya 25 mpaka 30 kwa siku. Inspekta Mwakawanga amedai walikuwa wakimpatia dawa hizo iwapo akisikia maumivu hasa ya mgongo na kuna kipindi anachoamka […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments