KESI YA KUPINGA KUONDOLEWA CHANEL ZA NDANI KWENYE VISIMBUZI KUTAJWA OCTOBA 18 | Darmpya
KESI ya kupinga kuondolewa kwa chanel za ndani katika visimbuzi vya Star Times , DSTV , Zuku na Azam iliyopaswa kutajwa Leo katika mahakama kuu kanda ya Iringa imeahirishwa hadi Octoba 18 mwaka huu . Naibu msajili wa mahakama kuu kanda ya Iringa Agatha Chigulu ameihairisha kesi hiyo Leo baada ya jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo kuwa kikazi nje ya mahakama hiyo. Katika kesi hiyo namba 3 ya mwaka 2018 ilifunguliwa mahakamani hapo na watu watano Silvanus Kigomba Dr Jesca Msambatavangu, Oliver Motto,Sebastian Atilio na Hamdun Abdallah ilifunguliwa kwa jaji …
from Dar Mpya Online TV
from Dar Mpya Online TV
Comments