KALI YA MTWARA: Bi Harusi kaolewa Ijumaa, kaachika Jumamosi kwa sms | Millardayo
Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo August 22, 2017 imetokea katika Mji wa Mikindani, Mtwara ambako mwanamke mmoja kaolewa Ijumaa kisha Jumapili akapewa talaka kwa njia ya massage. Inadaiwa kuwa baada ya kufunga ndoa Ijumaa, siku iliyofuata yaani Jumamosi waliamka pamoja na mume wake na kuandaa chai wakanywa pamoja na chakula cha mchana […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments