“Sihitaji Nyumba” – Mrembo kahamia kwenye gari kuogopa kodi kubwa | Millardayo
DUNIANI kuna kila namna ya mambo – mambo ambayo mengi hufurahisha na mengine hushangaza sana kwa sababu sio ya kawaida au ni nadra sana kufanyika. Ipo hii stori ambayo inamuhusu mwanamke mmoja Marekani kuamua kuingia kuishi kwenye gari akihofia kodi kubwa na gharama za samani kwenye nyumba za kupanga. Eileah Ohning, mwenye umri wa miaka […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments