“Ni hatari sana kiafya kuongea kwa simu zaidi ya dk 6”: Prof Sigalla | Millardayo
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Prof Normani Sigalla amesema kitalaamu madhara ya kusikiliza simu ni makubwa kuliko madhara yanayopatikana kwenye minara ya simu iliyowekwa eneo husika kwa wakazi wa eneo hilo. “Kama wewe ni msikilizaji wa simu kwa muda mrefu, tunashauri ujenge utaratibu wa kutumia vifaa vya kusikilizia kama kama earphone […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments