Chombo cha habari Afrika Kusini chamwangukia mke wa zamani wa Zuma…..kisa? | Millardayo
Shirika ya Utangazaji la Umma Afrika Kusini (SABC) imeomba msamaha kwa mwanasiasa Nkosazana Dlamini-Zuma, kwa kumzungumzia kama mke wa zamani wa Rais wanchi hiyo Jacob Zuma. Japokuwa ni kweli mwanasiasa huyu ni mke wa zamani wa Rais Zuma amechukizwa vikali na kutambuliwa hivyo na chombo hicho cha habari badala ya kutambuliwa kama mwanasiasa jambo alilosema ni […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments