Uchunguzi dhidi ya Mhudumu wa Ndege aliyewabagua abiria, umeanza | Millardayo
BRITISH Airways imeanzisha uchunguzi dhidi ya video inayomuonesha mmoja wa watumishi wake wa kike wa Ndege akitoa lugha ya kibaguzi kwa abiria wakati ndege hiyo ikifanya safari kuelekea Nigeria. Mwanamke huyo, akiwa katika sare ya BA, alijirekodi video hiyo muda mfupi akijiandaa kwa safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Heathrow, London kwenda Abuja, Nigeria, Ijumaa […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments