MAHAKAMANI! Yote ya Mwanzilishi wa Jamii FORUMS September 26 | Millardayo
Leo September 26, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeukubalia upande wa mashtaka kuifanyia marekebisho hati ya mashtaka katika kesi ya kuzuia Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi, inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forum, Maxence Melo (40) na mwenzake. Mbali ya Melo mshtakiwa mwingine ni Mwanahisa wa mtandao huo, Mike Mushi. Ombi hilo limekubaliwa, baada […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments