SHAHIDI: “Nashangaa kusikia Manji anatumia Dawa za Kulevya” | Millardayo
Jumanne, September 26, 2017 Kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Mfanyabiashara Yusuf Manji imeendelea kwa siku ya pili kati ya tatu za kusikiliza ushahidi mfululizo ambapo leo umetolewa ushahidi wa mashahidi watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Katika kesi hiyo, shahidi wa tano, Maria Rugalabumu (63) amemueleza Hakimu Mfawidhi, Cyprian Mkeha kuwa yeye ni […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments