Kesi ya Aveva, Kaburu TAKUKURU yakiri upelelezi haujakamilika | Millardayo
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 16, 2017 imeitaka TAKUKURU kuhakikisha inafika na taarifa ya uhakika kuhusu upelelezi wa kesi inayowakabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ ifikapo August 30, 2017. Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU, Leornad Swai amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Victoria Nongwa kuwa upelelezi wa kesi […]
from millardayo.com
from millardayo.com
Comments