Ali Kiba Ataja Sababu ya Wimbo Wake Mpya Kupokelewa Vizuri | Emmanuel Shilatu

Share


Msanii wa Bongo Fleva Nchini Ali Kiba amefunguka juu ya siri inayomfanya awe anapata mapokezi makubwa kwa mashabiki wake  kila anapotoa kazi mpya kuwa ni kazi nzuri ambazo amekuwa akizifanya.

Akizungumza Juma tatu hii ndani ya ‘Planet Bongo’ya East Africa Radio,Ali Kiba  alifunguka kuwa kazi nzuri ndio zinazomfanya awe anapata mapokeo makubwa sana kutoka kwa mashabiki wa muziki wake na wala si kitu kingine kama ambavyo imezoeleka kwa baadhi ya wasanii walio wengi kutumia ‘kiki’ kwa ajili ya kupata mapokeo makubwa ya kazi zao.

‘’Mi nafanya kazi nzuri ndio mana mapokeo ya kazi zangu kwa mashabiki yanakuwa makubwa na sio kitu kingine ninacho kifanya katika kazi yangu zaidi ya kufanya kazi nzuri’’alisema Ali kiba.

Ali Kiba ameanza rasmi kufanya ziara katika vyombo mbali mbali vya habari kwa ajiri ya kuutambulisha wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ ambao unatamba sana kwa sasa huku akiongozana na mtayarishaji wa kazi hiyo ‘Man Walter’ kutoka katika studio za Combination Sound.

READ MORE

Share



from AutoMedia Tanzania
via Read More

Comments

Popular This Week

HISTORIA YA WANGONI NA LILIPOTOKA JINA LA SONGEA | noreply@blogger.com (Lewis Mbonde)

MKEMIA MKUU: ‘Wanafunzi wanaoenda vyuoni wapimwe matumizi ya dawa za kulevya’ | Millardayo

Sina Beef Na Mange Kimambi Ananipenda Na Ananikubali : Wolper – Jicho La Uswazi | Mcinika Wa Lamar

KESI YA KUPINGA KUONDOLEWA CHANEL ZA NDANI KWENYE VISIMBUZI KUTAJWA OCTOBA 18 | Darmpya

MAMILIONI YA MFUKO WA JIMBO NYAMAGANA YAMWAGWA SOKO LA MLANGO MMOJA. | Darmpya

Kesi ya Aveva, Kaburu TAKUKURU yakiri upelelezi haujakamilika | Millardayo

Popular This Month

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATES NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI | MICHUZI BLOG

HISTORIA YA WANGONI NA LILIPOTOKA JINA LA SONGEA | noreply@blogger.com (Lewis Mbonde)

Dubai yazindua jengo refu zaidi duniani lenye ghorofa 75 | Darmpya

Birdman wa CashMoney anakuja Tanzania | Millardayo

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya