NIC Bank yakabidhi magari Matatu kati ya Sita Kwa Mteja wake kama Mkopo | John Hans Badi
Meneja mahusiano kwa wateja wakubwa wa benki ya NIC Tanzania, Woinde Murro(kulia) akizungumza jambo na mmoja wa wateja waliofika kwaajili ya kukabidhiwa magari makubwa ikiwa awamu ya kwanza ya mkopo wa Magari Sita ambapo leo amepokea magari matatu na matela matatu
Meneja mahusiano kwa wateja wakubwa wa benki ya NIC Tanzania, Woinde Murro(kulia) akimkabidhi funguo Mkurugenzi wa kampuni
from AutoMedia Tanzania
via Read More
Comments