Kutana na Mfetua Tofali alieshinda Tsh. milioni 55.. “sitoisahau ile elfu 1” | Millardayo
Wanasema kwenye maisha ya sasa chochote kinachokuja mbele yako usikichukulie poa na ni bora ujaribu kukipata ukikose kuliko kuacha kujaribu alafu kumbe ungeweza kushinda kabisa. Kutana na Juma Athumani, kijana wa Kitanzania ambae ameajiriwa kwenye kijiwe cha kufetua tofali, alijikuta tu anazo shilingi elfu 3 kwenye simu yake na akaamua kujinyima na kutoa shilingi elfu […]
Read more from millardayo.com
Read more from millardayo.com
Comments