Bodi ya Mikopo yataja idadi ya orodha ya kwanza ya Wanafunzi wataopewa mikopo | Millardayo
Najua Wanachuo wengi wamekua wakiisubiria hii habari kwa muda na sasa imeongelewa rasmi na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) ambayo leo imetoa orodha ya kwanza ya majina ya Wanafunzi wataopewa mikopo. Wanafunzi wataopewa mikopo kwenye orodha ya kwanza ni Wanafunzi 10,196 kati ya 30,000 wanaotarajiwa kunufaika na mikopo ya elimu ya juu […]
Read more from millardayo.com
Read more from millardayo.com
Comments