Waziri wa mafuta Oman alivyolonga Kiswahili mwanzo mwisho IKULU (video) | Millardayo
“Tanzania na Oman sio marafiki tu ni ndugu na hata kihistoria inajulikana na ndio maana nimepongeza ziara hii ya siku kumi, Znz siku 5 na Tanzania bara siku 5… nimeshukuru sana kwamba katika mission yao waliyotumwa na Mfalme wamekuja kuangalia swala la uwekezaji hasa kwenye viwanda” – amesema Rais Magufuli Ikulu leo Mengine aliyoongea President Magufuli […]
Read more from millardayo.com
Read more from millardayo.com
Comments