“Wanasiasa sio Wakombozi, Wananchi watajikomboa wenyewe” – ACT | Millardayo
Chama cha ACT WAZALENDO kimewaita Waandishi wa Habari kwenye ofisi zao leo Dar es salaam na kuongelea mazito mbalimbali ya nchi na chama chenyewe ikiwemo kujibu maswali kuhusu Viongozi waliojiuzulu nafasi zao na kujitoa ACT. Tundu Lissu atoka ICU, aliona jua kwa mara ya kwanza toka alipopigwa risasi… bonyeza play hapa chini kumtazama
Read more from millardayo.com
Read more from millardayo.com
Comments