Wanafunzi 80 waondoka Tanzania kwenda kusoma China | Millardayo
Global Education Link ambao ni Mawakala wa vyuo vya nje ya Tanzania wamefanikisha tena kama ilivyo kawaida yao awamu nyingine ya kuwaunganisha Wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma nje ya Tanzania. Wanafunzi wa Kitanzania 80 wenye ndoto za kusoma nje ya Tanzania wameondoka kwenda China na India likiwa ni kundi la 5 kutoka G.E.L na wengine […]
Read more from millardayo.com
Read more from millardayo.com
Comments