FURSA MBEYA: Ruge aelezea kinachowafelisha Watanzania kila siku | Millardayo
“Acheni kufanya biashara za kuuza vitumbua ili upeleke mtoto wako shule…. fanya biashara ya vitumbua kwasababu unataka baada ya muda uuze vitumbua nchi nzima, nataka uwaze kama Azam” Ruge Mutahaba ameanza kwa kuongea maneno hayo. Fursa 2017 ilikuwa zamu ya Mbeya October 17, 2017 ambapo Watu wa Mbeya walipata darasa la bure kabisa kuhusu namna […]
Read more from millardayo.com
Read more from millardayo.com
Comments