Maneno ya Jackline Wolper baada ya kuusikia wimbo mpya wa Harmonize | Millardayo
Mapenzi yanapoisha na uhusiano kuvunjika huwa inaumiza na hiyo inapelekea wengine kuwekeana kinyongo, kutosalimiana au kutotaka kabisa hata kumsikia mwenzake. Wolper aliwahi kusema kwenye Interview na ON AIR WITH MILLARD AYO kwamba huwa hapendi kumkumbuka na kumpa nafasi Mwanaume alieachana nae haswa Mwanaume aliempenda kisawasawa ila inaonekana sasa hivi maumivu yameondoka na hana kinyongo na Harmonize. […]
Read more from millardayo.com
Read more from millardayo.com
Comments