Posts

Showing posts with the label Habari Za Tanzania

DEREVA WA TUNDU LISSU ANA MAJIBU KWA JESHI LA POLISI

Image
Jeshi la Polisi nchini limesema bado linamhitaji dereva wa Mbunge wa singida Mashariki, Tundu Lissu, ili aweze kutoa majibu ya maswali mengi juu ya tukio la mbunge huyo kupigwa risasi mjini Dodoma Septemba 7, mwaka huu. Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro amesema hayo leo Jumatano mkoani Mtwara, wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa upelelezi wa tukio hilo bado unaendelea ili kukamilisha uchunguzi. “Chadema (Chama cha Demokrasia na Maendeleo), wanasema yule dereva anapatiwa matibabu ya kisaikolojia nchini Kenya, wakati kila siku kwenye mitandao tunaona picha zake anawaka tu hii inatupa wasiwasi kwa kuwa majibu ya maswali mengi tuliyo nayo anayo yeye, kwa sababu haiwezekani aendelee kupiga picha na kung’aa vile lakini wanasema ameathirika kisaikolojia, ” amesema IGP Sirro. Hivi karibuni, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, alisema dereva huyo yuko nchini Kenya anapatiwa matibabu ya kisaikolojia baada ya kushuhudia tukio hilo la Lissu kushambuliwa kw...

IGP SIRRO: BADO TUNA SHIDA NA DEREVA WA TUNDU LISSU

Image
  Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amesema wanaendelea na upelelezi wa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu. IGP Sirro akizungumza leo Jumatano akiwa ziarani mkoani Mtwara amemtaka dereva wa Lissu kulisaidia jeshi hilo katika kukamilisha upelelezi. Lissu ambaye anapata matibabu katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya, alishambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi Septemba 7 nyumbani kwake Area D mjini Dodoma na watu wasiojulikana. Amesema miongoni mwa wanaohitajika kwa kuhojiwa ni dereva wa Lissu ambaye inaelezwa yuko Nairobi anakopatiwa matibabu ya kisaikolojia. “Yule kijana kwenye picha ukimwona yuko vizuri tu, sasa wanaposema anapata huduma ya kisaikolojia wakati kwenye magazeti anaonekana hii inatupa changamoto. Ndugu zangu, mheshimiwa Lissu amepigwa risasi na watu tunaowatafuta, huyo kijana aje. Kuja kwake kutatusaidia kupata majibu ya mambo mengi,” amesema IGP Sirro. Amesema, ...

Jinsi Ya Kumwacha Mpenzi Wako Kwa Amani

Image
Ziko njia mbili tu ambazo uhusiano baina ya wapenzi wawili utaandika historia. Ama uhusiano utadumu hadi kifo kiwatenganishe ama utavunjika. Hata hivyo uzoefu unaonyesha kuwa kwa walio wengi hawajaweza kuwa kwenye uhusiano wa kudumu, wanakuwa wamepitia katika mahusiano mengine na hivyo kupitia awamu Fulani Fulani za kuvunja mahusiano.Na kuna namna mbili ambazo uhusiano utavunjika. Ama kwa amani ama kwa ugomvi. Kumaliza mahusiano si kitu rahisi sana hata kama ni hakika umemchoka mwenzi wako na hata kama uhusiano wenu si mzuri kiasi kwamba uko tayari kuwa huru. Kwa hiyo basi, kuvunja mahusiano ya kimapenzi ni jambo ambalo haliwezi kuepukika. Hata hivyo kumaliza mahusiano kwa amani ni vizuri na inapendeza kuliko kuumaliza kwa ugomvi na jazba. Kumbuka “The Golden Rule”: Kwamba ungekuwa ni wewe ungependa uachwe vipi? Kama upo katika mahusiano yasiyo na tija na unafikiri kwamba imefika wakati unahitaji uhusiano wenu uvunjike, basi dondoo zifuatazo zitakusaidia kumaliza mahusiano na mpenzi...

BENKI YA WALIMU YAUNGANA NA WATEJA WAKE KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI

Image
Meneja wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole (kulia), akimpatia zawadi, mmoja wa wateja wa benki hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Oktoba 4, 2017, kwenye tawi la benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es Salaam. Meneja wa Huduma kwa Wateja, MCB, Bi. Flora Mbogo, akizungumza wakati wa hafla hiyo. Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Masoko cha benki hiyo, Bw. Valence Luteganya, (kulia), akizungumza kwenye hafla hiyo. Wengine kutoka kushoto ni Meneja wa Huduma kwa Wateja, MCB, Bi.Flora Mbogo, na Meneja wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam, Bi. Leticia Ndongole Viongozi wa MCB, wakiungana na baadhi ya wateja wao kukata keki, ikiwa ni ishara ya kusherehekea pamoja katika kipindi cha wiki ya Huduma kwa Wateka, wkenye tawi la benki hiyo la Samora katikati ya jiji la Dar es Salaam. Meneja wa Mwalimu Commercial Bank, Plc, (MCB), tawi la Sam...

TAIFA STARS MAZOEZINI LEO UWANJA WA BOKO VETERANI

Image
Winga wa Difaa Hassan El Jadida ya Morocco, Simon Msuva (kushoto) akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Sony Sugar ya Kenya, Hamisi Abdallah wakati wa mazoezi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Uwanja wa Boko Veterani, Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam Nahodha wa Taifa Stars, mshambuliaji wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta (kushoto) akipiga hesabu za kumtoroka beki wa Simba, Salim Mbonde  Beki wa Yanga, Gardiel Michael akimtoka beki wa Simba, Erasto Nyoni leo  Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Hajib (kushoto) akiwania mpira dhidi ya Maganga wa Mbao FC  Kiungo wa Azam FC, Himid Mao Mkami akimiliki mpira katikati ya wachezaji wenzake Simon Msuva (kushoto) akimpita kwa ustadi Himid Mao katika mazoezi hayo ya kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi Jumamosi ijayo  READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

WANAHARAKATI WA GDSS WAZIJADILI CHNGAMOTO NA FAIDA ZA TEHAMA

Image
Wanaharakati wa semina za jinsia na maendeleo GDSS wamekutana mapema wiki hii lengo likiwa ni  kujadili faida na changamoto mbalimbali za matumizi ya teknolojia ya habari na mwawasiliano (TEHAMA). Akiongoza semina hiyo muwezeshaji kutoka Mtandao wa jinsia(TGNP) Bi. Veronica Magayane alisema kuwa wanaharakati wanajukumu kubwa la kuleta usawa na haki katika jamii hivyo ni vema kutumia Tehama katika harakati zao na kujiletea maendeleo kama wajasiliamali wadogo. Wakitoa maoni mbalimbali kuhusu matumizai ya Tehama wanaharakati hao walisema kuwa mfumo wa elimu yetu siyo rafiki kwa matumizi ya Tehama kwani serikali ilitakiwa kuweka mfumo huu kuanzia shule ya msingi na secondary ili wanafunzi waweze kuelewa vizuri kitu hiki, na waweze kukitumia kwa faida yao ya sasa na baadae na siyo kusubiri mpaka wafike chuo ndipo waanze kujifunza. Lakini pia ni kwa wazazi kukosa uelewa wa kutosha kuhusu teknolojia hii kwamba mzazi anasema awezi kumnunulia kompyuta mtoto wake anaesoma kwa kudai...

Watch New Video : Aslay – Natamba

Image
Dogo Aslay Ametuletea Video Yake Mpya Inayoenda Kwa Jina La #Natamba Iangalie Hapa Chini. READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

VIDEO: Mbunge Nasari adai kutishiwa maisha

Image
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari Leo Oktoba 4 aliwasili katika Makao makuu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Jijini Dsm,  kwaajili ya kuwasilisha ushahidi wa awamu ya pili wa tuhuma zinazo wahusu madiwani wanane waliohama CHADEMA na kujiunga na CCM katika baadhi ya kata Mkoani Arusha. Mbunge huyo aliwasili Ofisini hapo majira ya Saa Nane kasoro mchana, nakuruhusiwa kutoka majira ya Saa kumi na moja jioni ambapo mbali na kutoa ushahidi huo pia amefungua jarada la kesi zinazowahusu madiwani hao kama alivyoagizwa na mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU, Valentino Mlowola. Akiwa anaingia ofisini hapo Mbunge Nasari alionekana akiwa ameshika ‘Flash’ na ‘Hard Disk’ ambavyo pia amedai vifaa hivyo alibebea ushahidi wa kutosha Hata hivyo mbunge huyo amedai kuwa usalama wa maisha yake uko mashakani kulingana na jumbe za vitisho anazopokea baada ya kufichua sakata hilo. TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

TUCTA kumjibu Rais Magufuli – Mtembezi

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda leo amekagua ujenzi wa Jengo la Huduma Dharura ya kwenye Hospitali ya Rufaa Temeke ambayo Ujenzi wake unafadhiliwa na Ubalozi wa Japan Nchini Tanzania. Ujenzi wa Jengo hilo unagharimu kiasi cha Shillingi Million 800 ambazo ni matunda ya jitiada binafsi za RC Makonda baada ya kumtafuta Balozi wa Japan Nchini Tanzania na kumueleza changamoto ya ukosefu wa kitengo cha Huduma za haraka kwenye Hospital za Mkoa ambapo baada ya mazungumzo Balozi alipokea kwa mikono miwili ombi la RC Makonda. RC Makonda amesema kukamilika kwa jengo hilo itasaidia kupunguza Vifo vitokanavyo na Wagonjwa wanaohitaji huduma ya haraka kuikosa huduma hiyo kwa uharaka. Amesema jengo hilo ni mahususi kwajili ya wagonjwa wote wanaohitaji huduma ya haraka hususani Majeruhi wa Ajali, Wanaougua Malaria kali ya gafla, Maumivu ya Tumbo, wanaobanwa na Kifu, Wajawazito, Homa kali, ajali ya Moto na Magonjwa yote yanayohitaji huduma ya haraka. Amebainisha kuwa wagonjw...

Shambulizi la Lissu tulete wapelelezi wa kigeni

             Sina shaka ninapoandika makala hii kusema kuwa jaribio la kutaka kumuua mbunge wa Singida Mashariki na rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) mheshimiwa Tundu Lissu ni suala lililochafua sifa ya Tanzania ukiachia mbali kuondoa imani kwa baadhi ya vyombo vya usalama. Hii ni kutokana na kushindwa lau kuwakamata wahusika pamoja na kujitahidi kufanya hivyo. Shambulizi hili la kishenzi na kikatili linakatisha tamaa kiusalama hasa ikizingitiwa kuwa si la kwanza. Na kwa hali ilivyo, huenda si la mwisho.              Watanzania wanataka usalama na si usalama tu bali usalama wa uhakika. Watanzania wanakata wahalifu waliotaka kukatisha maisha ya Lissu wakamatwe, kujulikana na kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Hata hivyo, hali ilivyo, uwezekano wa wahalifu hawa kukamatwa unazidi kufifia hasa ikizingatiwa kuwa muda unavyozidi kuyoyoma, ndivyo wahalifu wanavyozidi kuepuka kukamatwa. Wen...

Mjue Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania, Generali Venance Mabeyo!

Image
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania, Generali Venance Mabeyo READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

Our New YouTube Intro Video- What do You Think?

Image
Join Our Family today! xoxo Missie Popular READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

Mahakama Yakwama Kutoa Uamuzi Kesi ya Wema Sepetu

Image
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekwama kutoa uamuzi wa ama kupokea au kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali nyumbani kwa Wema Sepetu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya kwa sababu Hakimu hajamaliza kuandaa uamuzi huo. Uamuzi huo ulitarajiwa utolewe leo October 4, 2017 na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, lakini amesema bado hajamaliza kuandaa uamuzi huo ambapo ameahirisha kesi hiyo hadi November 1, 2017. Awali, Wakili wa Wema, Peter Kibatala aliiomba Mahakama isipokee hati hiyo kwa kuwa haikukidhi vigezo. Mbali ya Wema, washtakiwa wengine ni Angelina Msigwa na Matrida Abbas ambao wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kukutwa na kiwango kidogo cha dawa za kulevya na kutumia dawa za kulevya. READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

Rais Trump aelekea Las Vegas

Image
Rais wa Marekani, Donald Trump ataelekea mjini Las Vegas badaye leo ili kuwafariji wale waliopatwa na maafa kufuatia shambulizi la bunduki lililopelekea watu 58 kupoteza maisha. READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

JIACHIE: Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 15 katika ajali ya lori Mkoani Rukwa

Image
Copyright 2007 ©MICHUZI JR READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

Uingereza yaompongeza Rais Dkt Magufuli kwa uamuzi wa kuhamishia serikali mkoani Dodoma

Image
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan Lugimbana akimkaribisha Mjumbe Maalumu wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwa Tanzania katika masula ya Biashara, Lord Clive Hollick mapema leo Ofisini kwake   Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan Lugimbana akizungumza na Mjumbe Maalim wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwa Tanzania katika masula ya Biashara, Lord Clive Hollick mapema leo Ofisini kwake  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan Lugimbana akizungumza na Ujumbe alioongozana nao Mjumbe Maalimu wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwa Tanzania katika masula ya Biashara, Lord Clive Hollick mapema leo Ofisini kwake mjini Dodoma. READ MORE from Habari Za Tanzania v Read More

Wyre – Number

JIACHIE: MKURUGENZI WA MASHTAKA AFUNGUA MAFUNZO YA UELIMISHAJI KUHUSU MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

Image
NA SEBERA FUGENCE – AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI (WCF), MOROGORO IMEELEZWA kuwa waajiri ambao hawajisajii na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Mhe. Biswalo Mganga katika mafunzo ya uelemishaji wa Mawakili wa Serikali wa Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara yaliyofanyika Mkoani Morogoro jana. (leo) Mheshimiwa Mganga alisema      hatua za kisheria zitachukuliwa kwa waajiri watakaobainika kutenda makosa mengine yakiwemo ya kutowasilisha michango katika Mfuko kwa wakati. Alisema lengo la Serikali ni kuona kila mfanyakazi anayeumia, kuugua ama kufariki kutokana na kazi anapata mafao yake kama ambavyo imeeekezwa katika Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi     Sura 263 ikisomwa pamoja na kanuni zake za mwaka 2016. “Mafunzo haya yatatoa fursa kwa Ofisi yangu na Maafisa wengine kueleza uzoefu wao kuhusu     namna ya kuendesha Mashauri ya Jinai zikiwemo ch...

BASATA YAIPONGEZA KAMATI YA MISS UNIVERSE TANZANIA

Image
Mkurugenzi wa Compass Communications ambaye pia ndiye mwandaaji mkuu wa mashindano haya Maria Sarungi Tsehai (Kulia) akisisitiza jambo wakati wa kikao na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata).Anayesikiliza Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Basata, Vivian Shalua na Afisa Sanaa, Bona Leon Masenge. Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Basata, Vivian Shalua (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Univerese mwaka jana, Jihan Dimachk (Kulia) na Miss Earth Tanzania, Lilian Loth. Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Basata, Vivian Shalua (wanne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na warembo, waandaaji na maofisa wa Basata mara baada ya kumalizika kikao cha pamoja cha kujadili mashindano hayo. Na Mwandishi wetu. Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limeipongeza kampuni ya Compass Communications Tanzania kwa kufanya mashindano bora ya Miss Universe hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Basata, Vivian Shalua wakati wa kufa...

BENKI YA NMB ,TAWI LA NELSON MANDELA MJINI MOSHI YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akiwaongoza wageni wengine wakati wa kupata Chai iliyoandaliwa na Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela mjini Moshi ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja . Baadhi ya Wateja wa Benki ya NMB wakipata Chai katika tawi la Nelson Mandela mjini Moshi. Meneja wa NMB tawi la Nelson Mandela,Emmanuel Kishosha akimueleza jambo Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira wakati akimkaribisha kuzungumza na Wateja a Benki hiyo waliojumuika katika Chai ya asubuhi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira akizungumza na Wateja wa Benki ya NMB wakati wa Maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyoanza Oktoba Mosi. Baadhi ya Wateja wa Benki ya NMB pamoja na viongozi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro aliotoa wakati wa Maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa wateja katika Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela. Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Ma...

Popular This Month

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA | VIJIMAMBO

MBUNGE SINGIDA MAGHARIBI ELIBARIKI KINGU (CCM) AWEKA HISTORIA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

Wasanii watakaokiwasha Tigo Fiesta jijini Mwanza watembelea Duka la Tigo leo. | Mrisho’s Photography

“Ukipata mshtuko wa moyo, usipopata huduma ndani ya dk 90 ni kifo” – JKCI | Millardayo

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

Majeshi ya Iraq yapiga hatua kuishambulia IS

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya