Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiagana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (kulia), Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles Tizeba (wa tatu Kushoto), Msaidizi wa rais Masuala ya dip...
Share BONYEZA >>HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI KIBITI BONYEZA >>HAPA UANGALIA MATOKEO YA SHULE ZOTE READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More
Share NGULI WA VITA VYA MAJIMAJI 1905-1907 NDUNA SONGEA MBANO.. JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea. Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya iliyopo katika mkoa wa Ruvuma na jina hilo linatokana na shujaa wa Wangoni, Nduna Songea Mbano. Ni vigumu kuilezea historia ya vita ya Maji Maji bila kutaja jina la Songea, shujaa huyo wa Wangoni kutokana na mchango wake mkubwa katika kupigania haki na uhuru wa Waafrika. Songea alikuwa mtu mwenye sifa ya kipekee kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya kazi bila kuchoka na katika mazingira magumu . Aliwashirikisha wananchi wake katika kufanya maamuzi na kujijengea mazingira yaliyomfanya kila mtu amuamini, kumsikiliza na kumheshimu. Nduna Songea Mbano alikuwa ni shujaa aliyesimama kidete na kupinga hoja ya utawala wa Kijerumani ambao ulionekana wazi unataka kudhalilisha utawala wa kabila la Wangoni. Songea alisimama kidete na kusema waziwazi kuwa Wangoni hawawezi kuutambua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli leo Jumanne ya October 3 2017 alikuwa katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere (JNICC) na kuhutubia katika uzinduzi wa mkutano Mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa. VIDEO: “Sikuja kuuza sura nilipendwa na mke wangu inatosha”- Rais Magufuli from millardayo.com
Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samwel Manyele amekaa na AyoTV na kuzungumzia umuhimu wa baadhi ya makundi ya watu kupimwa matumizi ya dawa za kulevya. Makundi aliyoyataja Mkemia Mkuu wa Serikali ni pamoja na wafanyakazi wanaoendesha mitambo na magari, wanafunzi wanaoenda kwenye vyuo vikuu kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu. ‘Mwajiri yeyote kabla […] Read more from millardayo.com
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Ali Mohamed Shein August 21, 2017 aliweka Jiwe la Msingi kuzindua madarasa matatu yaliyojengwa kwa Siku 11 chini ya Kampeni ya ‘Mimi na Wewe’ inayosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghalibi Ayub Mohammed Mahmoud. from millardayo.com
Share Msanii filamu Bongo, Jacqueline Wolper amedai kwa sasa hana beef na Mange Kimambi kwani ni mtu ambaye anampenda na kumkubali. Wolper na Mange walikuwa katika mgomvi wa kurushia maneno makali katika mitandao ya kijamii siku za nyuma. Muigizaji huyu ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa hana ugomvi wowote na kabla ya ugomvi wao walikuwa […] The post Sina Beef Na Mange Kimambi Ananipenda Na Ananikubali : Wolper appeared first on Jicho La Uswazi . READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More
KESI ya kupinga kuondolewa kwa chanel za ndani katika visimbuzi vya Star Times , DSTV , Zuku na Azam iliyopaswa kutajwa Leo katika mahakama kuu kanda ya Iringa imeahirishwa hadi Octoba 18 mwaka huu . Naibu msajili wa mahakama kuu kanda ya Iringa Agatha Chigulu ameihairisha kesi hiyo Leo baada ya jaji aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo kuwa kikazi nje ya mahakama hiyo. Katika kesi hiyo namba 3 ya mwaka 2018 ilifunguliwa mahakamani hapo na watu watano Silvanus Kigomba Dr Jesca Msambatavangu, Oliver Motto,Sebastian Atilio na Hamdun Abdallah ilifunguliwa kwa jaji … Source from Dar Mpya Online TV
Kiasi cha shilingi milioni ishirini na mbili(22,000.000), kutoka mfuko wa jimbo la Nyamagana Mwanza, kitatumika kukarabati miundombinu ya soko la wajasirimali wadogo wa mlango mmoja uliteketea kwa ajali ya moto miezi miwili iliyopita. Mbunge wa jimbo la Nyamagana, Mhe.Stanislaus Mabula, amesema hayo katika ziara yake maalum ya ukaguzi wa miradi yote inayofadhiliwa na mfuko wa jimbo. Mhe.Mabula, amesema katika awamu hii ofisi yake imetoa shilingi milioni 22 kupitia mfuko wa jimbo ili kukarabati miundombinu ya soko katika paa baada ya kuharibika vibaya na janga la moto miezi miwili iliyopita.… Source from Dar Mpya Online TV
DUNIANI kuna kila namna ya mambo – mambo ambayo mengi hufurahisha na mengine hushangaza sana kwa sababu sio ya kawaida au ni nadra sana kufanyika. Ipo hii stori ambayo inamuhusu mwanamke mmoja Marekani kuamua kuingia kuishi kwenye gari akihofia kodi kubwa na gharama za samani kwenye nyumba za kupanga. Eileah Ohning, mwenye umri wa miaka […] from millardayo.com
Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. ill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiagana na Mwenyekiti wa tasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017. Pamoja nao ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu (kulia), Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dk Charles Tizeba (wa tatu Kushoto), Msaidizi wa rais Masuala ya dip...
Share BONYEZA >>HAPA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YA SHULE YA SEKONDARI KIBITI BONYEZA >>HAPA UANGALIA MATOKEO YA SHULE ZOTE READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More
Fahamu yote yaliyojiri katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 17, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele na kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani. Source from Dar Mpya Online TV
Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo August 22, 2017 imetokea katika Mji wa Mikindani, Mtwara ambako mwanamke mmoja kaolewa Ijumaa kisha Jumapili akapewa talaka kwa njia ya massage. Inadaiwa kuwa baada ya kufunga ndoa Ijumaa, siku iliyofuata yaani Jumamosi waliamka pamoja na mume wake na kuandaa chai wakanywa pamoja na chakula cha mchana […] from millardayo.com
Share NGULI WA VITA VYA MAJIMAJI 1905-1907 NDUNA SONGEA MBANO.. JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea. Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya iliyopo katika mkoa wa Ruvuma na jina hilo linatokana na shujaa wa Wangoni, Nduna Songea Mbano. Ni vigumu kuilezea historia ya vita ya Maji Maji bila kutaja jina la Songea, shujaa huyo wa Wangoni kutokana na mchango wake mkubwa katika kupigania haki na uhuru wa Waafrika. Songea alikuwa mtu mwenye sifa ya kipekee kutokana na uwezo wake mkubwa wa kufanya kazi bila kuchoka na katika mazingira magumu . Aliwashirikisha wananchi wake katika kufanya maamuzi na kujijengea mazingira yaliyomfanya kila mtu amuamini, kumsikiliza na kumheshimu. Nduna Songea Mbano alikuwa ni shujaa aliyesimama kidete na kupinga hoja ya utawala wa Kijerumani ambao ulionekana wazi unataka kudhalilisha utawala wa kabila la Wangoni. Songea alisimama kidete na kusema waziwazi kuwa Wangoni hawawezi kuutambua...
Jana Jumapili Februari 11, 2018 Dubai iliendeleza desturi yake ya kuwa na majengo marefu zaidi duniani, kwa kuzindua jengo lingine la Gevora Hotel Towers. Jengo hilo linakuwa la kwanza duniani kwa urefu kutokana na kuwa na ghorofa 75 na urefu wa mita 356 kwenda juu. Hata hivyo, rekodi ya jengo refu la hoteli duniani ilikuwa inashikiliwa na Dubai yenyewe ambapo jengo la hoteli la JW Mariott Marquis ambalo limezidiwa mita moja tu na jengo jipya la Genova Hotel ndio lilikuwa linashikilia rekodi hiyo. from Dar Mpya Online TV
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo September 6, 2017 amepokea ripoti za Kamati Maalumu zilizoundwa na Bunge kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite na Almasi katika viwanja vya Bunge Dodoma kutoka kwa Spika wa Bunge Job Ndugai. RIPOTI YA MADINI! Kuna Vigogo wengine wametajwa kwenye Ripoti mpya from millardayo.com
Rapper na Producer maarufu wa Marekani Bryan Williams a.k.a Birdman ambae Wasanii wengi wamepitia kwenye mikono yake akiwemo Lil Wayne, Nicki Minaj na Drake, ametangaza rasmi kuja Tanzania. Birdman ametoa tano za nguvu kwa upendo ambao nchi hizi za Afrika zimeuonyesha kwake Nigeria, Kenya, Tanzania, Gambia na Ghana na baada ya kuzipa tano za nguvu […] Read more from millardayo.com
Moja ya story iliyopo mtaani kuhusu Alikiba na Diamond kuhusu kurushiana maneno kwenye mitandao na nyimbo inadaiwa kuwa imetegenezwa kwa ajili ya msimu mpya wa Fiesta 2017 ndio maana imekkuwa kubwa. Sasa Ayo TV na millardayo .com zimempata Mwenyekiti wa Fiesta 2017, Sebastian Maganga ambaye amezungumza kuhusu kinachoendelea juu Alikiba na Diamond na ishu yao […] from millardayo.com
Mwanamke anayetajwa kuwa tajiri zaidi duniani ambaye na mrithi wa Kampuni ya L’Oreal Ufaransa, Liliane Betterncourt amefariki dunia akiwa na miaka 94. Liliane ambaye utajiri wake ulitajwa na jarida Forbes na Orodha ya Matajiri Duniani (Bloomberg Billionaire Index) kuwa ni wa Dola za Marekani bilioni 44 sawa na Shilingi trilioni 105.6, amefariki nyumbani kwake lakini kumekua […] from millardayo.com
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick L. Mpogolo amewataka viongozi wa Mkoa wa Dodoma na wana CCM kwa ujumla kushiriki katika vikao vya mashina na kuimarisha mashina wanayotokana nao ili kukiongezea mtaji Chama cha Mapinduzi. Ndg Mpogolo ameyasema hayo leo Wilaya ya Dodoma Mjini wakati wa maadhimisho ya sherehe za kuzaliwa CCM kwa kuagiza Viongozi wote bila kujali nafasi zao kushiriki katika vikao vya mashina na kuwatambua mabalozi wao na kuwapa ushirikiano unaostahili kwa ustawi wa Chama. Akiwa katika ziara katika kiwanda cha Mvinyo cha CETAWICO ,Ndg Mpogolo… Source from Dar Mpya Online TV
Na Bakari Chijumba, Mtwara. Zaidi ya tani 68 za Korosho zilizokuwa zimepimwa na wakulima katika vyama vya Msingi Chemana na China kata ya Chitekete Halmashauri ya wilaya Newala Mkoani Mtwara, zimerejeshwa kwa wakulima baada ya kukataliwa na Meneja wa maghala kuingizwa kwenye maghala makuu ya TANECU- Newala kwa kinachodaiwa kukosa ubora. Mwenyekiti wa chama cha Msingi Chemana Abilahi Ibadi, amesema Korosho zilizorejeshwa kwa wakulima ni tani 15.6 Kwa upande wake Mwenyekiti msaidizi wa chama cha Msingi China Juma Samli, amesema Korosho zilizorejeshwa kwa wakulima walio chini yake ni Tani 53… Source from Dar Mpya Online TV
Na Amiri kilagalila Takribani ya vijiji 20 vilivyopo kata 6 wilayani ludewa mkoani Njombe vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme wa megawati 1.6 uliopo katika kijiji cha Lugalawa wilayani humo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mara baada ya kutembelewa na barozi wa nchi ya Ujerumani nchini Tanzania DETLEF WACHTER,Mkuu wa mkoa wa Njombe CHRISTOPHER OLESENDEKA amesema kuwa mradi huo wa kufua umeme kwa kutumia maji unatarajia kukamilika mwezi aprili mwaka huu. “ni kwamba tuna mradi wa kufua umeme kwa kutumia maji katika kijiji cha Lugalawa wilaya ya Ludewa… Source from Dar Mpya Online TV
Na Shabani Rapwi Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Saimon Msuva anaekipiga katika klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco usiku wa jana Jumamosi ametupia magoli mawili na kuifanya timu yake kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Ittihad Tanger katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Morocco (Botola Pro League). Msuva alifunga goli la kwanza dakika ya 2′ na dakika ya 30′. Ushindi huo wa magoli 2-0 unaifanya Difaa El Jadida kufikisha alama 24 wakiwa nafasi ya 9 huku Ittihad Tanger wakibaki nafasi ya 3 wakiwa na alama 27… Source from Dar Mpya Online TV
Na Shabani Rapwi. Usiku wa kuamkia leo Jumamosi, February 23, 2019, mabondia wawili wa Tanzania, Hussein Itamba, Ibrahimu Tamba walikuwa ulingoni katika mji wa Budepest, Hungary na wote wamepoteza mpambano yao kwa points. Pambano la kwanza lilikuwa la raundi nane la uzito wa Middle Weight 77’5kgs kati ya Hussein Itamba dhidi ya mjerumani Mates Kids, na mtazamani Itamba alipoteza kwa pambano ilo kwa points zaidi ya mjerumani huyo. Na pambano la pili lilimkutanisha bondia mtanzania Ibrahim Tamba na bondia Sherfat Suf kutoka Hurungay katika pambano la raundi nane uzito wa… Source from Dar Mpya Online TV
Na Shabani Rapwi. Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) hapo kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, utakaochezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Saa 10:00 Jioni. Shabiki wa klabu Azam FC maarufu kwa jina la Ngaona Azam amefunguka kuelekea kwenye mchezo huo na kusema haoni Simba ya kuifunga Azam katika mchezo huo licha ya matokeo ya hivi karibuni kuwa si mazuri kwao. “Bado sijaiona Simba ya kuifunga Azam kesho.Najua Azam tunapitia katika kipindi kigumu kutokana na matokeo tunayoyapata katika mechi za hivi karibuni”… Source from Dar Mpya Online TV
Na Amiri kilagalila Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limewataka Mafundi wanaojihusisha na shughuli za nishati ya umeme mkoani humo kupata leseni kutoka mamlaka ya uthibiti wa nishati na maji EWURA ili kupambana na mafundi wasiokuwa na weledi na kazi zao wala kutambulika kisheria huku wakisababisha matatizo kwa wateja. Wito huo umetolewa na mhandisi wa mpango na kaimu meneja wa Tanesco mkoa wa njombe, YUSUPH SALIM wakati akizungumza na mafundi umeme pamoja na wahandisi katika mkutano wa pamoja ulioandaliwa na umoja wa makandarasi (UMAU) katika ukumbi wa Miriam… Source from Dar Mpya Online TV
Waziri wa Nishati Mhe. Medard Kalemani kwenye ziara ya kikazi mkoani Mwanza iliyoanza hii leo akiwa wilayani Nyamagana amewasha mradi wa umeme Vijijini REA mtaa wa Nyakagwe katika Kata ya Buhongwa. Mhe. Kalemani amesema, serikali ya Mhe. John Pombe Magufuli imeongezewa KM 20 za ziada kutoka KM 25 zilizokuwepo awali Nyamagana katika mpango wa mradi wa umeme Vijinini REA na kufikia KM 45 ikiwa ni ombi maalum la Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula ili kutatua changamoto ya umeme kwa wakazi walioko maeneo ya pembezoni. Akiongea na wananchi… Source from Dar Mpya Online TV
Na Stephen Noel Mpwapwa -Dodoma. Mahakama ya wilaya ya Mpwapwa imewahukumu watu watatu akiwemo baba na mwanae wakazi wa kijiji cha Msagali darajani kata ya Chunyu wilayani Mpwapwa kila mmoja kifungo cha miaka 30Jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha. Watu hao ni Baba mzazi Raphael Mkwai wa miaka (54) na mwanae Kombozo Kenneth( 30) pamoja na shemeji wa baba huyo huyo Msafiri Machimo (22) wenye kesi namba 130 ya mwaka 2017 iliyo kuwa inasikilizwa na Hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya hiyo,Pascal Mayumba na… Source from Dar Mpya Online TV
Comments