VIDEO: Mbunge Nasari adai kutishiwa maisha


Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari Leo Oktoba 4 aliwasili katika Makao makuu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Jijini Dsm,  kwaajili ya kuwasilisha ushahidi wa awamu ya pili wa tuhuma zinazo wahusu madiwani wanane waliohama CHADEMA na kujiunga na CCM katika baadhi ya kata Mkoani Arusha.
Mbunge huyo aliwasili Ofisini hapo majira ya Saa Nane kasoro mchana, nakuruhusiwa kutoka majira ya Saa kumi na moja jioni ambapo mbali na kutoa ushahidi huo pia amefungua jarada la kesi zinazowahusu madiwani hao kama alivyoagizwa na mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU, Valentino Mlowola.
Akiwa anaingia ofisini hapo Mbunge Nasari alionekana akiwa ameshika ‘Flash’ na ‘Hard Disk’ ambavyo pia amedai vifaa hivyo alibebea ushahidi wa kutosha
Hata hivyo mbunge huyo amedai kuwa usalama wa maisha yake uko mashakani kulingana na jumbe za vitisho anazopokea baada ya kufichua sakata hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

READ MORE



from Habari Za Tanzania
vRead More

Comments

Popular This Week

HISTORIA YA WANGONI NA LILIPOTOKA JINA LA SONGEA | noreply@blogger.com (Lewis Mbonde)

MKEMIA MKUU: ‘Wanafunzi wanaoenda vyuoni wapimwe matumizi ya dawa za kulevya’ | Millardayo

Sina Beef Na Mange Kimambi Ananipenda Na Ananikubali : Wolper – Jicho La Uswazi | Mcinika Wa Lamar

KESI YA KUPINGA KUONDOLEWA CHANEL ZA NDANI KWENYE VISIMBUZI KUTAJWA OCTOBA 18 | Darmpya

MAMILIONI YA MFUKO WA JIMBO NYAMAGANA YAMWAGWA SOKO LA MLANGO MMOJA. | Darmpya

Kesi ya Aveva, Kaburu TAKUKURU yakiri upelelezi haujakamilika | Millardayo

Popular This Month

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATES NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI NCHINI | MICHUZI BLOG

HISTORIA YA WANGONI NA LILIPOTOKA JINA LA SONGEA | noreply@blogger.com (Lewis Mbonde)

Dubai yazindua jengo refu zaidi duniani lenye ghorofa 75 | Darmpya

Birdman wa CashMoney anakuja Tanzania | Millardayo

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya