Ngassa afunga Goli lake la kwanza akicheza Fanja FC ya Oman
MICHEZO
Winga wa kimataifa wa Tanzaniaanayecheza soka katika klabu ya Fanja FCya Oman Mrisho Ngassa amefanikiwa kuanza maisha yake mapya ya soka katika klabu hiyo kwa kufunga goli akicheza mchezo wake wa kwanza toka ajiunge na klabu hiyo.
Ngassa ambaye amejiunga na Fanja FCakiungana na aliyekuwa mshambuliaji waSimba Danny Lyanga amefunga goli katika mchezo dhidi ya Al-Nahda, mchezo ambao umemalizika kwa sare ya kufungana goli 2-2.
Comments