Panya Road wa Mbagala watiwa mbaroni

Dar es Salaam. Jeshi la polisi mkoa wa Temeke limewakamata watu zaidi ya 15 wanaodaiwa kuwa ni Panya Road waliovamia na kuwapora  watu waliokuwa wakitoka kwenye tamasha la kuinua vipaji lililoandaliwa na redio ya  Clouds.

Wahalifu hao wanadaiwa kufanya uhalifu rmaeneo ya Sabasaba, Temeke, huku wakiwa na silaha za kijadi ikiwamo mapanga maeneo ya Sabasaba.

Kamanda wa polisi mkoa huo,Gilles Muroto alisema Oktoba 15 saa 11 jioni  liliandaliwa  tamasha la kuinua vipaji na Clous FM ambapo vijana hao walishiriki na baadaye kufanya uhalifu huo.

Alisema baada ya tamasha hilo kwisha watuhumiwa hao wanaodaiwa kuwa zaidi ya 50 waliingia mtaani huku na kuelekea eneo la sabasaba wakiwa na mapanga,visu,bisibisi kwa ajili ya kufanyia uhalifu.

Muroto alisema wakati wakielekea eneo hilo ndipo wananchi waliwadhibiti na kuwakamata vijana sita kati ya hao mmoja alifariki wakati akipelekwa hospitali,wawili wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya temeke na watatu walitoa ushirikiano kwa jeshi la polisi ambapo walikamatwa watuhumiwa hao.

"Hawa watuhumiwa watatu walitoa ushirikiano na waliwataja  wenzao jumla ya vijana 16 walikamatwa ukimuondoa yule aliyefariki,"alisema Muroto.

Comments

Popular This Week

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

MBUNGE SINGIDA MAGHARIBI ELIBARIKI KINGU (CCM) AWEKA HISTORIA | Darmpya

TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA | VIJIMAMBO

Wasanii watakaokiwasha Tigo Fiesta jijini Mwanza watembelea Duka la Tigo leo. | Mrisho’s Photography

“Ukipata mshtuko wa moyo, usipopata huduma ndani ya dk 90 ni kifo” – JKCI | Millardayo

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

Popular This Month

Majeshi ya Iraq yapiga hatua kuishambulia IS

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya