Na Alex Massaba Mwenyekiti Wa Baraza la Vijana Wa Chadema taifa (Bavicha) Kamanda Patrick Ole Sosopi leo tarehe 05/12/2017 amemtembelea Mstahiki Meya Wa Manispaa ya [Read more]
Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), mheshimiwa John Heche, amesema mdogo wake anayejulikana kwa majina ya Suguta Chacha, ameuuawa kwa kuchomwa kisu na polisi wa kituo cha Sirari usiku wa kuamka leo. Mbunge huyo amedhibitisha kuuawa kwa ndugu yake huyo katika ujumbe wake kwenye ukarasa wake wa mtandao wa Twitter kuwa leo Aprili 27 2018 na kusema kuwa Suguta alichomwa kisu na polisi waliomkamata baada ya kumkuta baa akinywa pombe. Inadaiwa polisi wametekeleza tukio hilo huku akiwa na pingu mkononi. “Watu hawako salama tena mikononi mwa polisi. Mdogo wangu Suguta amekamatwa na polisi jana usiku na ameuwawa na polisi kwa kuchomwa kisu. Najisikia maumivu mno, hii sio nchi ambayo tunaitaka. Najiuliza maswali mengi ni kwa vipi mtu amefungwa pingu anachomwa kisu tena na polisi.” Aliandika hivyo Mhe. Heche. Aidha, Kamanda wa polisi mkoa Mara, RPC Mwibambe amethibitisha kutokea tukio hilo na wananchi wakazi wa Sirari wamezingira kituo hicho cha polisi baada kusikia kijana huyo ambaye...
WAZEE wa mila wilayani Tarime wametakiwa kuamua kwa nguvu moja kushiriki katika kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto wa kike, ikiwemo mimba za utotoni [Read more] from darmpya.com
Na Shabani Rapwi. Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) hapo kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, utakaochezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Saa 10:00 Jioni. Shabiki wa klabu Azam FC maarufu kwa jina la Ngaona Azam amefunguka kuelekea kwenye mchezo huo na kusema haoni Simba ya kuifunga Azam katika mchezo huo licha ya matokeo ya hivi karibuni kuwa si mazuri kwao. “Bado sijaiona Simba ya kuifunga Azam kesho.Najua Azam tunapitia katika kipindi kigumu kutokana na matokeo tunayoyapata katika mechi za hivi karibuni”… Source from Dar Mpya Online TV
Diwani wa CCM katika kata ya Tindabuligi wilayani Meatu mkoani Simiyu, ndugu Seleman Mahega amepoteza maisha akiwa katika Hospitali ya Mwandoya alipokuwa akipatiwa huduma ya kwanza mara baada ya kuapata ajali asubuhi ya leo. Diwani huyo ni mmoja wa wale waliokuwa kwenye msafara wa mwenyekiti wa Uvccm Taifa Kheri James, uliopata ajali asubuhi ya leo mara baada ya magari katika msafara huo kugongana baada ya moja ya gari kwenye msafara kufunga breki ya ghafla iliyosababisha kutokea vumbi lilipelekea madereva katika magari ya nyuma yake kushindwa kuona vizuri. Taarifa za msiba huo zimethibitishwa pia na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Antony Mtaka, ambaye ametoa pole kwa msiba huo na kuwaombea kupona haraka wale waliopata majeraha katika ajali hiyo. Katika hatua nyingine Mtaka amesema jitihada za kuwapeleka katika Hospitali ya Rufaa Bugando, madiwani wengine wanne walioumia kwenye ajali zinaendelea. from Dar Mpya Online TV
Dar Es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema kwenye suala la hali ya usalama, nchi yetu iko salama licha ya kuwepo matukio kadhaa ya kiuhalifu, hii ni kufuatia tukio la mfanyabiashara MO kutekwa na watu wasiojulikana wiki moja sasa. Kauli hiyo ameitoa leo Oktoba 19, 2018, mapema asubuhi wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es salaam, juu ya matukio mbalimbali yanayojitokeza hapa nchini. “Tumefanya operesheni nchi nzima kuanzia mwezi Machi hadi Oktoba na kukamata magari 12 yalioibwa, na magari yote… Source from Dar Mpya Online TV
DOWNLOAD Download DJMwanga Android Application Click HERE JIUNGE NAMI KUPITIA Twitter: @djmwanga Instagram: @djmwanga Facebook Fans Page: DJMwanga READ MORE from Habari Za Tanzania via Read More
Lusaka, ZAMBIA. Mahakama nchini Zambia imeagiza kukamatwa kwa mwanamuziki wa Rhumba kutoka nchini DRC, Koffi Olomide, kwa madai ya kumpiga mpiga picha nchini humo miaka sita iliyopita. Hatua ya kuagizwa kukamatwa kwake imekuja baada ya mwamuziki huyo kutarajiwa kufika Mahakamani siku ya Ijumaa kujibu mashtaka lakini hakuonekana. Olomide alikuwa nchini Zambia hivi karibuni, na aliondoka licha ya kutakiwa kufika Mahakamani. Msimamizi wa mwanamuziki huyo nchini Zambia Mark Mumbalama, amesema alikuwa ameiomba Mahakama kumpa muda zaidi Olomide kabla ya kuja Mahakamani lakini hakufanikiwa. Mwanamuziki huyo amekuwa akishtumiwa kwa utovu… Source from Dar Mpya Online TV
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Ndg. Phili Mangula akikaribishwa ukumbini katika kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27, 2017 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na nyuma ya Makamu wa Rais ni Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Spika wa Baraza wa Wakilishi la Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Has...
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony P. Mavunde amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh Anamringi Macha kufanya uchunguzi kubaini vikundi vya Vijana vilivyokopeshwa fedha kufuatia kuwepo kwa madai ya Vijana kwamba fedha hizo hazijawafikia na vimeenda katika vikundi visivyojulikana. Mavunde ameyasema hayo leo katika kata ya Mwendakulima,Halmashauri ya Kahama Mji alipokuwa akisikiliza kero za Vijana lakini pia kuwahamisha katika kushiriki kwenye Mpango wa Wizara wa kuwashikirisha Vijana katika kilimo cha kutumia kitalu nyumba(Greenhouse) ambapo pia alipata nafasi ya kukagua maeneo yaliyotengwa kwa… Source from Dar Mpya Online TV
Share Download DJMwanga Android Application Click HERE JIUNGE NAMI KUPITIA Twitter: @djmwanga Instagram: @djmwanga Facebook Fans Page: DJMwanga READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More
DOWNLOAD Download DJMwanga Android Application Click HERE JIUNGE NAMI KUPITIA Twitter: @djmwanga Instagram: @djmwanga Facebook Fans Page: DJMwanga READ MORE from Habari Za Tanzania via Read More
WAZEE wa mila wilayani Tarime wametakiwa kuamua kwa nguvu moja kushiriki katika kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto wa kike, ikiwemo mimba za utotoni [Read more] from darmpya.com
Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), mheshimiwa John Heche, amesema mdogo wake anayejulikana kwa majina ya Suguta Chacha, ameuuawa kwa kuchomwa kisu na polisi wa kituo cha Sirari usiku wa kuamka leo. Mbunge huyo amedhibitisha kuuawa kwa ndugu yake huyo katika ujumbe wake kwenye ukarasa wake wa mtandao wa Twitter kuwa leo Aprili 27 2018 na kusema kuwa Suguta alichomwa kisu na polisi waliomkamata baada ya kumkuta baa akinywa pombe. Inadaiwa polisi wametekeleza tukio hilo huku akiwa na pingu mkononi. “Watu hawako salama tena mikononi mwa polisi. Mdogo wangu Suguta amekamatwa na polisi jana usiku na ameuwawa na polisi kwa kuchomwa kisu. Najisikia maumivu mno, hii sio nchi ambayo tunaitaka. Najiuliza maswali mengi ni kwa vipi mtu amefungwa pingu anachomwa kisu tena na polisi.” Aliandika hivyo Mhe. Heche. Aidha, Kamanda wa polisi mkoa Mara, RPC Mwibambe amethibitisha kutokea tukio hilo na wananchi wakazi wa Sirari wamezingira kituo hicho cha polisi baada kusikia kijana huyo ambaye...
Diwani wa CCM katika kata ya Tindabuligi wilayani Meatu mkoani Simiyu, ndugu Seleman Mahega amepoteza maisha akiwa katika Hospitali ya Mwandoya alipokuwa akipatiwa huduma ya kwanza mara baada ya kuapata ajali asubuhi ya leo. Diwani huyo ni mmoja wa wale waliokuwa kwenye msafara wa mwenyekiti wa Uvccm Taifa Kheri James, uliopata ajali asubuhi ya leo mara baada ya magari katika msafara huo kugongana baada ya moja ya gari kwenye msafara kufunga breki ya ghafla iliyosababisha kutokea vumbi lilipelekea madereva katika magari ya nyuma yake kushindwa kuona vizuri. Taarifa za msiba huo zimethibitishwa pia na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Antony Mtaka, ambaye ametoa pole kwa msiba huo na kuwaombea kupona haraka wale waliopata majeraha katika ajali hiyo. Katika hatua nyingine Mtaka amesema jitihada za kuwapeleka katika Hospitali ya Rufaa Bugando, madiwani wengine wanne walioumia kwenye ajali zinaendelea. from Dar Mpya Online TV
Share House Victimz – Victimized Vol.1 Album. Source: House Victimz/Facebook The prolific duo of DJ Shiloe and DJ Poizen that make up South Africa’s real house and electronic music group, House Victimz , have now released their highly-anticipated debut album. Titled “Victimized Vol.1,” this album is one that helps the disc jockeys and producers reach a milestone of their exciting musical careers. The “Victimized Vol.1” album has been a long time in the making. In fact, the project of musical art has experienced delays and its release date had to be shifted a few times. The issue had to do with major label deals, including their signature with Universal Studios. Source: House Victimz/Facebook However, the massive 21-track project of musical art is here and it is all that we thought it would be and more. Our early favourites are some of the songs we have grooved to including “ Ixesha ,” “Fly Away,” and even “ First Lesson .” However, from the early listen, “Victimized Vo...
Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saed Kubenea amesema kuwa kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kusema kuwa yeye na Mbunge wa Kibamba John Mnyika walitaka kujiunga na CCM, si kweli. Kubenea amesema kuwa hawakuongea vile na Rais bali walikuwa wakizungumza mambo mengine, na Makonda amesema yale ili kuwafurahisha wanachama wa chama cha mapinduzi waliokuwepo kwenye hafla ile. Kubenea amesema kuwa uchaguzi ujao watahakikisha kuwa wanashinda kwa kishindo hadi serikali inayoongozwa na CCM ishangae. “Nataka nimwambie tu RC Makonda kwamba katika uchaguzi unaokuja upinzani tutashinda zaidi kuliko… Source from Dar Mpya Online TV
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, ametangaza kumfuta kazi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, ndugu Fadhili Nkurlu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu zinasema kuwa, Rais Magufuli amefikia uamuzi huo hii leo Julai 15, 2018. Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amemteua Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama. Mkuu wa Wilaya, Anamringi... Source from Dar Mpya Online TV
Na Shabani Rapwi. Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) hapo kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, utakaochezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Saa 10:00 Jioni. Shabiki wa klabu Azam FC maarufu kwa jina la Ngaona Azam amefunguka kuelekea kwenye mchezo huo na kusema haoni Simba ya kuifunga Azam katika mchezo huo licha ya matokeo ya hivi karibuni kuwa si mazuri kwao. “Bado sijaiona Simba ya kuifunga Azam kesho.Najua Azam tunapitia katika kipindi kigumu kutokana na matokeo tunayoyapata katika mechi za hivi karibuni”… Source from Dar Mpya Online TV
Dar Es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amesema kwenye suala la hali ya usalama, nchi yetu iko salama licha ya kuwepo matukio kadhaa ya kiuhalifu, hii ni kufuatia tukio la mfanyabiashara MO kutekwa na watu wasiojulikana wiki moja sasa. Kauli hiyo ameitoa leo Oktoba 19, 2018, mapema asubuhi wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es salaam, juu ya matukio mbalimbali yanayojitokeza hapa nchini. “Tumefanya operesheni nchi nzima kuanzia mwezi Machi hadi Oktoba na kukamata magari 12 yalioibwa, na magari yote… Source from Dar Mpya Online TV
Lusaka, ZAMBIA. Mahakama nchini Zambia imeagiza kukamatwa kwa mwanamuziki wa Rhumba kutoka nchini DRC, Koffi Olomide, kwa madai ya kumpiga mpiga picha nchini humo miaka sita iliyopita. Hatua ya kuagizwa kukamatwa kwake imekuja baada ya mwamuziki huyo kutarajiwa kufika Mahakamani siku ya Ijumaa kujibu mashtaka lakini hakuonekana. Olomide alikuwa nchini Zambia hivi karibuni, na aliondoka licha ya kutakiwa kufika Mahakamani. Msimamizi wa mwanamuziki huyo nchini Zambia Mark Mumbalama, amesema alikuwa ameiomba Mahakama kumpa muda zaidi Olomide kabla ya kuja Mahakamani lakini hakufanikiwa. Mwanamuziki huyo amekuwa akishtumiwa kwa utovu… Source from Dar Mpya Online TV
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick L. Mpogolo amewataka viongozi wa Mkoa wa Dodoma na wana CCM kwa ujumla kushiriki katika vikao vya mashina na kuimarisha mashina wanayotokana nao ili kukiongezea mtaji Chama cha Mapinduzi. Ndg Mpogolo ameyasema hayo leo Wilaya ya Dodoma Mjini wakati wa maadhimisho ya sherehe za kuzaliwa CCM kwa kuagiza Viongozi wote bila kujali nafasi zao kushiriki katika vikao vya mashina na kuwatambua mabalozi wao na kuwapa ushirikiano unaostahili kwa ustawi wa Chama. Akiwa katika ziara katika kiwanda cha Mvinyo cha CETAWICO ,Ndg Mpogolo… Source from Dar Mpya Online TV
Na Bakari Chijumba, Mtwara. Zaidi ya tani 68 za Korosho zilizokuwa zimepimwa na wakulima katika vyama vya Msingi Chemana na China kata ya Chitekete Halmashauri ya wilaya Newala Mkoani Mtwara, zimerejeshwa kwa wakulima baada ya kukataliwa na Meneja wa maghala kuingizwa kwenye maghala makuu ya TANECU- Newala kwa kinachodaiwa kukosa ubora. Mwenyekiti wa chama cha Msingi Chemana Abilahi Ibadi, amesema Korosho zilizorejeshwa kwa wakulima ni tani 15.6 Kwa upande wake Mwenyekiti msaidizi wa chama cha Msingi China Juma Samli, amesema Korosho zilizorejeshwa kwa wakulima walio chini yake ni Tani 53… Source from Dar Mpya Online TV
Na Amiri kilagalila Takribani ya vijiji 20 vilivyopo kata 6 wilayani ludewa mkoani Njombe vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme wa megawati 1.6 uliopo katika kijiji cha Lugalawa wilayani humo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mara baada ya kutembelewa na barozi wa nchi ya Ujerumani nchini Tanzania DETLEF WACHTER,Mkuu wa mkoa wa Njombe CHRISTOPHER OLESENDEKA amesema kuwa mradi huo wa kufua umeme kwa kutumia maji unatarajia kukamilika mwezi aprili mwaka huu. “ni kwamba tuna mradi wa kufua umeme kwa kutumia maji katika kijiji cha Lugalawa wilaya ya Ludewa… Source from Dar Mpya Online TV
Na Shabani Rapwi Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Saimon Msuva anaekipiga katika klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco usiku wa jana Jumamosi ametupia magoli mawili na kuifanya timu yake kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Ittihad Tanger katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Morocco (Botola Pro League). Msuva alifunga goli la kwanza dakika ya 2′ na dakika ya 30′. Ushindi huo wa magoli 2-0 unaifanya Difaa El Jadida kufikisha alama 24 wakiwa nafasi ya 9 huku Ittihad Tanger wakibaki nafasi ya 3 wakiwa na alama 27… Source from Dar Mpya Online TV
Na Shabani Rapwi. Usiku wa kuamkia leo Jumamosi, February 23, 2019, mabondia wawili wa Tanzania, Hussein Itamba, Ibrahimu Tamba walikuwa ulingoni katika mji wa Budepest, Hungary na wote wamepoteza mpambano yao kwa points. Pambano la kwanza lilikuwa la raundi nane la uzito wa Middle Weight 77’5kgs kati ya Hussein Itamba dhidi ya mjerumani Mates Kids, na mtazamani Itamba alipoteza kwa pambano ilo kwa points zaidi ya mjerumani huyo. Na pambano la pili lilimkutanisha bondia mtanzania Ibrahim Tamba na bondia Sherfat Suf kutoka Hurungay katika pambano la raundi nane uzito wa… Source from Dar Mpya Online TV
Na Shabani Rapwi. Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) hapo kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, utakaochezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Saa 10:00 Jioni. Shabiki wa klabu Azam FC maarufu kwa jina la Ngaona Azam amefunguka kuelekea kwenye mchezo huo na kusema haoni Simba ya kuifunga Azam katika mchezo huo licha ya matokeo ya hivi karibuni kuwa si mazuri kwao. “Bado sijaiona Simba ya kuifunga Azam kesho.Najua Azam tunapitia katika kipindi kigumu kutokana na matokeo tunayoyapata katika mechi za hivi karibuni”… Source from Dar Mpya Online TV
Na Amiri kilagalila Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limewataka Mafundi wanaojihusisha na shughuli za nishati ya umeme mkoani humo kupata leseni kutoka mamlaka ya uthibiti wa nishati na maji EWURA ili kupambana na mafundi wasiokuwa na weledi na kazi zao wala kutambulika kisheria huku wakisababisha matatizo kwa wateja. Wito huo umetolewa na mhandisi wa mpango na kaimu meneja wa Tanesco mkoa wa njombe, YUSUPH SALIM wakati akizungumza na mafundi umeme pamoja na wahandisi katika mkutano wa pamoja ulioandaliwa na umoja wa makandarasi (UMAU) katika ukumbi wa Miriam… Source from Dar Mpya Online TV
Waziri wa Nishati Mhe. Medard Kalemani kwenye ziara ya kikazi mkoani Mwanza iliyoanza hii leo akiwa wilayani Nyamagana amewasha mradi wa umeme Vijijini REA mtaa wa Nyakagwe katika Kata ya Buhongwa. Mhe. Kalemani amesema, serikali ya Mhe. John Pombe Magufuli imeongezewa KM 20 za ziada kutoka KM 25 zilizokuwepo awali Nyamagana katika mpango wa mradi wa umeme Vijinini REA na kufikia KM 45 ikiwa ni ombi maalum la Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula ili kutatua changamoto ya umeme kwa wakazi walioko maeneo ya pembezoni. Akiongea na wananchi… Source from Dar Mpya Online TV
Na Stephen Noel Mpwapwa -Dodoma. Mahakama ya wilaya ya Mpwapwa imewahukumu watu watatu akiwemo baba na mwanae wakazi wa kijiji cha Msagali darajani kata ya Chunyu wilayani Mpwapwa kila mmoja kifungo cha miaka 30Jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha. Watu hao ni Baba mzazi Raphael Mkwai wa miaka (54) na mwanae Kombozo Kenneth( 30) pamoja na shemeji wa baba huyo huyo Msafiri Machimo (22) wenye kesi namba 130 ya mwaka 2017 iliyo kuwa inasikilizwa na Hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya hiyo,Pascal Mayumba na… Source from Dar Mpya Online TV
Comments