Posts

Showing posts with the label Darmpya.com

JESHI LA POLISI LATUPILIA MBALI KESI YA DKT.SHIKA NA KUSEMA HAJATIA HASARA YOYOTE | Darmpya

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa, amesema kuwa, jeshi hilo halina sababu ya kuendelea na kesi ya Dkt. Louis Shika [Read more] from darmpya.com

KLABU YA SIMBA YAMPA KOCHA OMOG SIKU ZAIDI YA KUMI ZA KUPUMZIKA | Darmpya

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam, Joseph Omog, amepewa siku zaidi ya kumi kwa ajili ya mapumziko kabla ya kurejea [Read more] from darmpya.com

WASOMI WA CCM WAASWA KUTOOGOPA KUVAA SARE ZA CHAMA CHAO | Darmpya

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa Kenani Kihongosi, ametoa wito kwa vijana wasomi ambao ni wanachama wa CCM kutoogopa na kuona aibu kuvaa sare ama [Read more] from darmpya.com

AISIIIII…..U KILL ME 03 | Darmpya

Mwandishi. Eddazaria G.Msulwa (Next level Author) 0657072588   ILIPOISHIA  Mapokezi ya K2 yakanishangaza sana yalikuwa ni mapokezi ambayo ni tofauti na wanawake wote niliowahi kuwapitia [Read more] from darmpya.com

WEMA SEPETU AVUNJAA UKIMYA AFUNGUKA YA MOYONI | Darmpya

Baada ya msanii wa filamu, Bongo Wema Sepetu kurudi CCM kutokea Chadema, hatimaye  amevunja ukimya na kufunguka ya moyoni. Wema amesema hawezi sana kulizungumzia hilo [Read more] from darmpya.com

MTANZANIA AFIA KWENYE ETHIOPIA AIRLINE BAADA YA KUZIDIWA NA DAWA KULEVYA | Darmpya

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Rogers Siang’a amethibitisha kupokea taarifa ya Mtanzania kufariki dunia akisafirisha dawa za [Read more] from darmpya.com

KUBENEA:NIKITAKA KUONDOKA CHADEMA NITAONDOKA KWA HIARI YANGU NA SIO KWA KUNUNULIWA NA CCM | Darmpya

Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA) Saed kubenea,  amesema hawezi kujiunga na chama ambacho Mkuu wake wa Wilaya Arumeru, alithibitika kuwanunua madiwani kwa rushwa na [Read more] from darmpya.com

MTATIRO: SIJAPANGA MIPANGO YA KUHAMIA CCM WALA SINA HIYO | Darmpya

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ametolea ufafanuzi madai ya yeye kuhamia CCM. Mtatiro alisema, anapenda kuujulisha Umma kuwa, ameona propaganda [Read more] from darmpya.com

| Darmpya

TAARIFA FUPI KWA UMMA. Ndugu zangu, nimeona PROPAGANDA nyingi kwenye mitandao juu ya mimi kuhamia CCM au kuwa na mipango ya kuhamia CCM. Nataka niwahakikishie [Read more] from darmpya.com

SAED KUBENEA: SIWEZI KUHAMA CHADEMA KWENDA CCM, MWENYE USHAHIDI AUTOE | Darmpya

Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Saed Kubenea, amekanusha madai yanayoenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa anampango [Read more] from darmpya.com

POLISI ZANZIBAR YAENDELEA KUMSHIKILIA MFANYABIASHARA ALIYEKUTWA NA DHAHABU NA FEDHA ZA NCHI 15 | Darmpya

Naibu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Zanzibar, Ramadhan Ng’azi alisema kuwa,  Jeshi la Polisi linaendelea kumshikilia mfanyabiashara aliyekamatwa na dhahabu na Mamilioni ya fedha za [Read more] from darmpya.com

WANAFUNZI 225 KUSHIRIKI GWARIDE LA MKOLONI MIAKA 50 YA UHURU | Darmpya

Jumla ya watoto 225 kutoka Shule mbali mbali za Sekondari nchini, wanatarajia kushiriki katika Gwaride Maalum la Mkoloni litakalofanywa na Jeshi la Polisi katika kuadhimisha [Read more] from darmpya.com

TRUMP KUTANGAZA RASMI KUUTAMBUA MJI WA JERUSALEM NA KUHAMISHIA UBALOZI WAKE | Darmpya

 Rais wa marekani Donald Trump anatarajia kuutangazia Ulimwengu kuwa, wanautambua Mji wa Jerusalem kama mji Mkuu wa Israel na hivyo kuhamishia Ubalozi wake rasmi ambao [Read more] from darmpya.com

HABARI ZILIZOPO KWENYE MAGAZETI LEO DESEMBER 06 | Darmpya

Share on: WhatsApp from darmpya.com

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI AFANYA ZIARA DAWASA | Darmpya

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe, leo ameanza ziara ya siku mbili ya kukagua miradi inayosimamiwa na Mamlaka ya majisafi na majitaka Dar [Read more] from darmpya.com

MAJAMBAZI WATATU WAUAWA AKIWEMO “KOMANDOO” KUTOKA BURUNDI | Darmpya

Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imetoa taarifa kuhusiana na kuuawa kwa majambazi watatu akiwemo Mrundi mmoja “Komandoo” na kupatikana na silaha moja ya [Read more] from darmpya.com

| Darmpya

Na Alex Massaba Mwenyekiti Wa Baraza la Vijana Wa Chadema taifa (Bavicha) Kamanda Patrick Ole Sosopi leo tarehe 05/12/2017 amemtembelea Mstahiki Meya Wa Manispaa ya [Read more] from darmpya.com

SOSOPI AMTEMBELEA MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA ILALA LEO | Darmpya

Na Alex Massaba Mwenyekiti Wa Baraza la Vijana Wa Chadema taifa (Bavicha) Kamanda Patrick Ole Sosopi leo tarehe 05/12/2017 amemtembelea Mstahiki Meya Wa Manispaa ya [Read more] from darmpya.com

| Darmpya

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Juliana Shonza amekemea tabia ya Wasanii kutumia vibaya mitandao kwa kujidhalilisha badala ya kutumia kwa kutuletea [Read more] from darmpya.com

LIJUALIKANI, SUZAN NA WENZAO 36 WA CHADEMA WARUDISHWA RUMANDE MOROGORO | Darmpya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, imeamuru Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali na wenzao 36, warudishwa rumande kufuatia kuibuka mvutano kuhusiana na hati ya kiapo [Read more] from darmpya.com

Popular This Month

AUDIO | DJ Mwanga

JOHN HECHE:WATU HAWAKO SALAMA NCHI HII, NI BAADA YA MDOGO WAKE KUUAWA NA POLISI | Darmpya

DIWANI WA CCM APOTEZA MAISHA KWA AJALI ASUBUHI YA LEO. | Darmpya

House Victimz – Victimized Vol.1 Album | AutoMedia Tanzania

MBUNGE KUBENEA AMUUMBUA RC MAKONDA , | Darmpya

SASA ZAMU YA WAKUU WA WILAYA, RAIS MAGUFULI AMTUMBUA DC KAHAMA | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

MAHAKAMA NCHINI ZAMBIA YAAGIZA MWANAMUZIKI KOFII OLOMIDE KUKAMATWA. | Darmpya

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya