SASA ZAMU YA WAKUU WA WILAYA, RAIS MAGUFULI AMTUMBUA DC KAHAMA | Darmpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, ametangaza kumfuta kazi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, ndugu Fadhili Nkurlu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu zinasema kuwa, Rais Magufuli amefikia uamuzi huo hii leo Julai 15, 2018. Kufuatia hatua hiyo, Rais Magufuli amemteua Anamringi Macha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama. Mkuu wa Wilaya, Anamringi...
from Dar Mpya Online TV
Comments