MAHAKAMA NCHINI ZAMBIA YAAGIZA MWANAMUZIKI KOFII OLOMIDE KUKAMATWA. | Darmpya
Lusaka, ZAMBIA. Mahakama nchini Zambia imeagiza kukamatwa kwa mwanamuziki wa Rhumba kutoka nchini DRC, Koffi Olomide, kwa madai ya kumpiga mpiga picha nchini humo miaka sita iliyopita. Hatua ya kuagizwa kukamatwa kwake imekuja baada ya mwamuziki huyo kutarajiwa kufika Mahakamani siku ya Ijumaa kujibu mashtaka lakini hakuonekana. Olomide alikuwa nchini Zambia hivi karibuni, na aliondoka licha ya kutakiwa kufika Mahakamani. Msimamizi wa mwanamuziki huyo nchini Zambia Mark Mumbalama, amesema alikuwa ameiomba Mahakama kumpa muda zaidi Olomide kabla ya kuja Mahakamani lakini hakufanikiwa. Mwanamuziki huyo amekuwa akishtumiwa kwa utovu…
from Dar Mpya Online TV
from Dar Mpya Online TV
Comments