MAVUNDE AAGIZA KUFANYIKA UCHUNGUZI, KUBAINI FEDHA ZA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA VIJANA ZILIPOKWENDA | Darmpya
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony P. Mavunde amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mh Anamringi Macha kufanya uchunguzi kubaini vikundi vya Vijana vilivyokopeshwa fedha kufuatia kuwepo kwa madai ya Vijana kwamba fedha hizo hazijawafikia na vimeenda katika vikundi visivyojulikana. Mavunde ameyasema hayo leo katika kata ya Mwendakulima,Halmashauri ya Kahama Mji alipokuwa akisikiliza kero za Vijana lakini pia kuwahamisha katika kushiriki kwenye Mpango wa Wizara wa kuwashikirisha Vijana katika kilimo cha kutumia kitalu nyumba(Greenhouse) ambapo pia alipata nafasi ya kukagua maeneo yaliyotengwa kwa…
from Dar Mpya Online TV
from Dar Mpya Online TV
Comments