WAFANYABIASHARA WAPOKEA MRADI WA UJENZI SOKO KUU TARIME UTAKAO GHARIMU BILIONI 8. | Darmpya

Na Dinna Maningo,Tarime. Wafanyabiashara katika soko kuu mjini Tarime wamepokea mradi wa ujenzi wa soko kuu jipya utakaogharimu zaidi ya Bilioni 8 fedha zilizotolewa na Serikali kuu huku wakiipongeza Serikali kuwezesha fedha ambazo zitafanikisha kujenga soko la kisasa tofauti na lililopo ambalo limepitwa na wakati. Akizungumza na Wafanyabiashara wa soko kuu viwanja vya shule ya msingi Nyamisangura,Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa Tarime,Elias Ntiruhungwa  alisema kuwa baada ya kupokea fedha hizo  tayali halmashauri imetangaza zabuni kwa ajili ya ujenzi wa soko ambalo ni jengo la ghorofa litakalokuwa na maduka 419,vizimba…

Source

from Dar Mpya Online TV

Comments

Popular This Week

JOHN HECHE:WATU HAWAKO SALAMA NCHI HII, NI BAADA YA MDOGO WAKE KUUAWA NA POLISI | Darmpya

DIWANI WA CCM APOTEZA MAISHA KWA AJALI ASUBUHI YA LEO. | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

AUDIO | DJ Mwanga

MAHAKAMA NCHINI ZAMBIA YAAGIZA MWANAMUZIKI KOFII OLOMIDE KUKAMATWA. | Darmpya

RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA JIJINI DAR ES SALAAM LEO | noreply@blogger.com (Muhidin Sufiani)

VIDEO | DJ Mwanga

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya

Popular This Month

AUDIO | DJ Mwanga

JOHN HECHE:WATU HAWAKO SALAMA NCHI HII, NI BAADA YA MDOGO WAKE KUUAWA NA POLISI | Darmpya

DIWANI WA CCM APOTEZA MAISHA KWA AJALI ASUBUHI YA LEO. | Darmpya

RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA JIJINI DAR ES SALAAM LEO | noreply@blogger.com (Muhidin Sufiani)

House Victimz – Victimized Vol.1 Album | AutoMedia Tanzania

MBUNGE KUBENEA AMUUMBUA RC MAKONDA , | Darmpya

SASA ZAMU YA WAKUU WA WILAYA, RAIS MAGUFULI AMTUMBUA DC KAHAMA | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya