WOLPER AKINUKISHA TENA. | Darmpya

Ilianza kama masihara kisa Wolper kucoment kwenye post ya Harmonize, Sarah akamind na kumtaka Wolper aache kumfuatilia bebe wake kwa lolote like akimtaka akae mbali kabisa.

Mwarabu fighter bodyguard wa Diamond akaingia kwenye stori ambapo post moja ikatoka kumuonyesha yeye na Sarah demu wa Harmonize wakipeana tabasamu matata, ikasemwa Sarah anachepuka na mwarabu fighter.

Kwenye interview flani hivi Wolper aliulizwa swali la kizushi kuhusu fukunyunyu za Sarah na Monde boy kutemana, Gambe alionekana kujibu shiti flani hivi ambayo ilimkwaza Harmonize.

Kupitia ukurasa wake wa Insta mkali wa kibao cha kwangaru alimtolea povu Jackline Wolper akihoji kati yake na Sarah nani mlezi wa wana?,akaenda mbali zaidi kwa kuchapisha orodha ya wanaume alodate nao Wolper huku akiita kikosi A, pia alimwita fundi cherehani. Yap ishu hii imeshikiwa kidedea na wambea wa town huku Timu A ikiwa ndo # kwa hewa

Wolper katumia busara zake na kuwatumia meseji Harmonize na mpenziwe bi Sarah kuwaonya juu ya kinachoendelea….  tazama ujumbe:



from Dar Mpya Online TV

Comments

Popular This Week

TFF YAIKOMALIA YANGA, YAITAKA IFANYE UCHAGUZI KUZIBA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI. | Darmpya

TAFITI: Wanaosoma habari mitandaoni hupoteza kumbukumbu haraka kuliko magazetini | admin

MBUNGE SINGIDA MAGHARIBI ELIBARIKI KINGU (CCM) AWEKA HISTORIA | Darmpya

TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA | VIJIMAMBO

Popular This Month

MBUNGE SINGIDA MAGHARIBI ELIBARIKI KINGU (CCM) AWEKA HISTORIA | Darmpya

TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA | VIJIMAMBO

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

Majeshi ya Iraq yapiga hatua kuishambulia IS

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 11, 2017 | Pamoja Blog

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

TFF YAIKOMALIA YANGA, YAITAKA IFANYE UCHAGUZI KUZIBA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI. | Darmpya

Wasanii watakaokiwasha Tigo Fiesta jijini Mwanza watembelea Duka la Tigo leo. | Mrisho’s Photography

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya