Posts

Showing posts with the label marekani

Trump amekataa kuahidi kukubali matokeo ya uchaguzi akishindwa

Image
Image copyright Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha Democrat Donald Trump amesema kuwa atakubali matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Marekani ''iwapo atashinda'' . Amesema kuwa atakubali matokeo ya moja kwa moja yasio na udanganyifu wowote akiongezea kuwa ana haki ya kupinga matokjeo hayo iwapo hayatakuwa na utata. Alionekana katika mkutano mjini Delaware jimbo la Ohio ,akizungumza kwa mara ya kwanza baada ya mjadala wa tatu wa urais dhidi ya mpinzani wake wa chama cha Democrat Hillary Clinton. Bwana Trump amekuwa akikosolewa kwa kusema kuwa hatakubali matokeo ya uchaguzi huo. Donald Trump alikataa kuahidi kukubali matokeo ya uchaguzi iwapo atashindwa, katika mjadala wa mwisho wa urais dhidi ya Hillary Clinton. "Nitakuambia wakati huo" alimwambia muendesha mjadala Chris Wallace. Kwa siku kadhaa amedai kuwa kuna 'udanganyifu' katika uchaguzi huo. Mjadala huo wa televisheni Las Vegas uliendeleza uhasama katika kampeni huku Trump akimuita Bo Clin...

Obama asikitishwa na malalamiko ya Trump

Image
Image copyright GETTY IMAGES Image caption Rais Barack Obama Rais Barack Obama wa Marekani ameyaelezea malalamiko yaliyotolewa na mgombea kupitia chama cha Republican, Donald Trump, kwamba kuna udanganyifu unafanyika katika uchaguzi wa Rais nchini humo, kuwa ni ya hatari na kuharibu demokrasia. Amemlaumu mgombea huyo wa Republican kutilia shaka uhalali wa uchaguzi huo, bila ya kuwa na ushahidi kamili wa kuwepo kwa hila kwenye uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao. Wakati wa mdahalo wao wa tatu na wa mwisho uliofanyika jana katika yake na mpinzani wake Hillary Clinton, Bwana Trump alikataa moja kwa moja kusema kwamba atakubali matokeo iwapo atashindwa. Hata hivyo chama chake cha Republican kimekuwa kikijaribu kusafisha kauli yake hiyo. Timu ya Kampeni ya uchaguzi ya Bwana Trump inamlaumu Hillary Clinton mgombea kupitia chama cha Democrats kwa kupanga jaribio la kutaka kumchafua mgombea huyo wa Republican baada ya mwanamke wa 10 kujitokeza akiilaumu tabia yake ya kudhalil...

Clinton na Trump: Nani anaongoza?

Image
Wamarekani watapiga kura tarehe 8 Novemba kumchagua rais atakayemrithi Barack Obama wa chama cha Democratic. Hapa tutakupatia tathmini ya udadisi wa kura za maoni nchini humo, hasa kuhusu ushindani kati ya mgombea wa Democratic Hillary Clinton na mwenzake wa Republican Donald Trump. Baada ya mdahalo, huchukua siku kadha kabla ya matokeo yake kudhihirika kwenye kura za maoni. Image caption Utathmini wa kura za maoni kufikia 20 Oktoba, 2016. Kura za maoni zina umuhimu? Ni vigumu kubaini maoni ya watu zaidi ya 300 milioni lakini watafiti wa maoni bado hujaribu. Watu wanaotumiwa huwa ni 1,000 hivi na kwa kuzingatia maadili ya utafiti na sayansi, huwezekana kubashiri matokeo. Majimbo yanayoshindaniwa sana ? Kuna majimbo 13 ambayo yanatarajiwa kushindaniwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Hapa chini ni ramani ya majimbo hayo na uwezekano wa nani atashinda kwa kutumia matokeo ya kura ya maoni ya tovuti ya Real Clear Politics. Ndipo Donald Trump aweze kupata nafasi nzuri, anahitaji kujishind...

Clinton na Trump wataniana kwenye dhifa New York

Image
Image copyright AP Image caption Hafla hiyo huchangisha mamilioni ya dola kusaidia watoto wasio na uwezo na watu maskini Wagombea wakuu wa urais nchini Marekani Hillary Clinton na Donald Trump walirushiana vijembe kwa utani katika dhifa ya jioni iliyoandaliwa kuchangisha pesa za hisani. Walishiriki kwenye dhifa hiyo siku moja baada ya kushambuliana vikali kwenye mdahalo wa mwisho wa runinga. Bi Clinton alicheka sana Bw Trump alipomtania kuhusu hotuba za kulipwa na pia uchunguzi wa FBI kuhusu tuhuma kwamba alitumia barua pepe ya kibinafsi kwa shughuli rasmi. Lakini Bw Trump alizomewa alipofanya mzaha kwamba mpinzani huyo wake huwachukia Wakatoliki. Dhifa hiyo ya Wakfu wa Ukumbusho wa Alfred E Smith mjini New York hufanyika kila baada ya miaka minne na kuwashirikisha wagombea urais. Kuna desturi kwamba wagombea husimama na kutaniana, lakini mwana huu imeandaliwa wakati kumekuwa na uhasama mkubwa sana kwenye kampeni. Trump v Clinton: Nani anaongoza? Trump: Kura zinaibiwa vituoni Marekani ...

Popular This Month

IGP SIRRO:NCHI YETU IKO SALAMA, NA TUNAO UWEZO WA KUFANYA UCHUNGUZI | Darmpya

TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA | VIJIMAMBO

MBUNGE SINGIDA MAGHARIBI ELIBARIKI KINGU (CCM) AWEKA HISTORIA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

Wasanii watakaokiwasha Tigo Fiesta jijini Mwanza watembelea Duka la Tigo leo. | Mrisho’s Photography

“Ukipata mshtuko wa moyo, usipopata huduma ndani ya dk 90 ni kifo” – JKCI | Millardayo

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

Majeshi ya Iraq yapiga hatua kuishambulia IS

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya