ZIARA YA MHE MABULA MTAA KWA MTAA YAHAMISHIA OFISI ZA SERIKALI MTAANI KUTATUA KERO ZA WANANCHI. | Darmpya
Mwanza Tanzania. Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula akishirikiana na watendaji wa Serikali MWAUWASA pamoja na TARURA wamefika Mtaa wa Nyamayuki Kata ya Mahina kutatua changamoto zinazokabili mtaa huu upande wa maji na miundo mbinu mibovu ya barabara. Mkurugenzi wa shirika la maji safi na taka mkoani Mwanza MWAUWASA Mhandisi Sanga pamoja na kikosi chake cha wataalamu wamefika mtaa wa Nyamayuki kuangalia changamoto za maji zilizodumu kwa muda mrefu, Mhandisi Sanga amewahakikishia wananchi pamoja na Mbunge kushughulikia kwa uharaka changamoto hiyo ndani ya mwezi mmoja ili maji yatapatikane…
from Dar Mpya Online TV
from Dar Mpya Online TV
Comments