Popular This Week
MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya
Na Shabani Rapwi. Usiku wa kuamkia leo Jumamosi, February 23, 2019, mabondia wawili wa Tanzania, Hussein Itamba, Ibrahimu Tamba walikuwa ulingoni katika mji wa Budepest, Hungary na wote wamepoteza mpambano yao kwa points. Pambano la kwanza lilikuwa la raundi nane la uzito wa Middle Weight 77’5kgs kati ya Hussein Itamba dhidi ya mjerumani Mates Kids, na mtazamani Itamba alipoteza kwa pambano ilo kwa points zaidi ya mjerumani huyo. Na pambano la pili lilimkutanisha bondia mtanzania Ibrahim Tamba na bondia Sherfat Suf kutoka Hurungay katika pambano la raundi nane uzito wa… Source from Dar Mpya Online TV
KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA. | sheila simba
Share Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jaffo (aliesimama)akizungumza jambo pale Watendaji wakuu kutoka ofisi hiyo walipokutana na kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali leo Mjini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Ndg. Kapulya Musomba akizungumza jambo pale kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ilipokutana na Watendaji wakuu kutoka Shirika hilo, Wizara ya Nishati na Madini pamoja na REA leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakifuatilia majadiliano baina yao na Watendaji wakuu kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na REA leo Mjini Dodoma. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Dkt. Medard Kalemani (aliesimama) akizungumza na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Watendaji wakuu kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya ...
“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya
Na Shabani Rapwi. Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) hapo kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, utakaochezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Saa 10:00 Jioni. Shabiki wa klabu Azam FC maarufu kwa jina la Ngaona Azam amefunguka kuelekea kwenye mchezo huo na kusema haoni Simba ya kuifunga Azam katika mchezo huo licha ya matokeo ya hivi karibuni kuwa si mazuri kwao. “Bado sijaiona Simba ya kuifunga Azam kesho.Najua Azam tunapitia katika kipindi kigumu kutokana na matokeo tunayoyapata katika mechi za hivi karibuni”… Source from Dar Mpya Online TV
ZIARA YA MHE MABULA MTAA KWA MTAA YAHAMISHIA OFISI ZA SERIKALI MTAANI KUTATUA KERO ZA WANANCHI. | Darmpya
Mwanza Tanzania. Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula akishirikiana na watendaji wa Serikali MWAUWASA pamoja na TARURA wamefika Mtaa wa Nyamayuki Kata ya Mahina kutatua changamoto zinazokabili mtaa huu upande wa maji na miundo mbinu mibovu ya barabara. Mkurugenzi wa shirika la maji safi na taka mkoani Mwanza MWAUWASA Mhandisi Sanga pamoja na kikosi chake cha wataalamu wamefika mtaa wa Nyamayuki kuangalia changamoto za maji zilizodumu kwa muda mrefu, Mhandisi Sanga amewahakikishia wananchi pamoja na Mbunge kushughulikia kwa uharaka changamoto hiyo ndani ya mwezi mmoja ili maji yatapatikane… Source from Dar Mpya Online TV
WCB WATAKIWA KULIPA FIDIA YA KUNAKILI WIMBO WA MSONDO NGOMA | Darmpya
MADHARA Ya Kuangalia Video za Ngono Na Namna Ya Kuacha | Udaku Special
Share Kuangalia video za ngono sio jambo jipya kwa jamii yetu, kimsingi ni watu wachache sana wanaweza kujizuia kujichua au kupiga punyeto baada ya kuangalia video za ngono. Bahati mbaya tabia ya kuangalia video hizi watu wengi huipata wakiwa wadogo sana na usipokua makini tabia hii itakufanya vibaya sana kisaikolojia. Tabia ya kujichua sasa iko wazi kwa jinsia zote yaani wanawake na wanaume japokua imekua ikiathiri zaidi wanaume sababu ya maumbile yao. Japo wengi hufanya kwa siri na kuficha ili wasijulikane na wengine. Vijana wengi wamekuwa wakiangalia video hizo wakiwa wamejificha wenyewe chumbani, na hasa nyakati za usiku. Kuangalia video za ngono kuna madhara mbalimbali ya kiafya na kisaikolojia. Haya hapa ni baadhi ya madhara unayoweza kuyapata kama utaangalia sana video za ngono. Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume Kuangalia sana video za ngono hukufanya ushindwe kusisimuliwa na mwanamke au mwanaume wa kawaida, video za ngono zina wanawake na wanaume wazuri s...
SERIKALI YAZIONYA DINI KUJIHUSISHA NA SIASA | Darmpya
Ofisi ya msajili wa Jumuiya za kidini Wizara ya mambo ya ndani ya nchi, inazikumbusha na kuzitaka Jumuiya zilizosajiliwa chini ya sheria ya Jumuiya sura 337 iliyofanyiwa mapito mwaka 2002 kuendelea na kufuata sheria na masharti ya usajili huo. Tamko hilo limetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya ndani ya nchi, Meja jenerali mstaafu Projest Rwegasila. Rwegasila amesema kuwa tamko hilo limekuja baada ya baadhi ya jumuiya zimekuwa zikifanya shughuli zao kinyume na malengo ya kwenye katiba na bila kutoa taarifa Ofisi ya Msajili. Kati ya shughuli hizo Rwegasila ametaja kuwa na baadhi ya viongozi wa Jumuiya hutumia muda wa mahubiri katika ibada zao kuchambua masuala ya siasa ambayo ni kinyume na katiba zao. Sheria ya Jumuiya sura 337 inazitaka Jumuiya zote kutoa taarifa za mabadiliko ya katiba zao, huku atakaye kiuka sheria hiyo itapelekea Jumuiya husika kufutiwa usajili wake kupitia kifungu cha 17 cha sheria husika. from Dar Mpya Online TV
MPIGIE KURA KARIM MICHUZI ASHINDE TUZO YA FILAMU FUPI ZA UMOJA WA ULAYA | Pamoja Blog
‘Mpenzi nakupenda’ Ni Banana Zoro na Saida Karoli, Escape One | Millardayo
Popular This Month
VIDEO | DJ Mwanga
AUDIO | DJ Mwanga
Kwa nini nasita kujiunga na TEF – Fumbuka Ng'wanakilala | MICHUZI BLOG
Share Kumekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu TEF. Licha ya kasoro zake, pengine TEF kwa sasa ndiyo jumuiya ya waandishi wa habari Tanzania yenye umaarufu zaidi kuliko zote. Moja ya tuhuma kubwa dhidi ya TEF ni kuwa jukwaa hili limekuwa linatumika kama “kichaka” ambacho viongozi wa taasisi mbalimbali (hususan za umma) hujificha ili kujikinga na tuhuma za ufisadi. TEF pia imekuwa inajulikana kwa kutoa matamko ya kufungia au kufungulia watu fulani wasiandikwe na vyombo vya habari nchini. Suala ambalo sisi wengine ambao siyo wanachama wa TEF tumekuwa tunahoji ni kuwa TEF ni jukwaa la wanachama (members only), hivyo basi, wanachama wa TEF wana *haki* ya kualikwa kwenye mikutano ya TEF na semina zinazoandaliwa na TEF na wana *wajibu* wa kupokea na kutekeleza maagizo ya TEF. Kwa muktadha huo huo, wahariri na waandishi ambao sio wanachama wa TEF hawana haki ya kuitwa kwenye vikao vya TEF, na hawana wajibu wa kutekeleza maagizo ya TEF. Kumekuwa na dhana potofu kuwa maagizo na maamuzi y...
KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI, NISHATI NA MADINI NA MIUNDOMBINU ZAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA. | sheila simba
Share Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jaffo (aliesimama)akizungumza jambo pale Watendaji wakuu kutoka ofisi hiyo walipokutana na kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali leo Mjini Dodoma. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Ndg. Kapulya Musomba akizungumza jambo pale kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ilipokutana na Watendaji wakuu kutoka Shirika hilo, Wizara ya Nishati na Madini pamoja na REA leo Mjini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakifuatilia majadiliano baina yao na Watendaji wakuu kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na REA leo Mjini Dodoma. Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Dkt. Medard Kalemani (aliesimama) akizungumza na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Watendaji wakuu kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya ...
ZIARA YA MHE MABULA MTAA KWA MTAA YAHAMISHIA OFISI ZA SERIKALI MTAANI KUTATUA KERO ZA WANANCHI. | Darmpya
Mwanza Tanzania. Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanislaus Mabula akishirikiana na watendaji wa Serikali MWAUWASA pamoja na TARURA wamefika Mtaa wa Nyamayuki Kata ya Mahina kutatua changamoto zinazokabili mtaa huu upande wa maji na miundo mbinu mibovu ya barabara. Mkurugenzi wa shirika la maji safi na taka mkoani Mwanza MWAUWASA Mhandisi Sanga pamoja na kikosi chake cha wataalamu wamefika mtaa wa Nyamayuki kuangalia changamoto za maji zilizodumu kwa muda mrefu, Mhandisi Sanga amewahakikishia wananchi pamoja na Mbunge kushughulikia kwa uharaka changamoto hiyo ndani ya mwezi mmoja ili maji yatapatikane… Source from Dar Mpya Online TV
WCB WATAKIWA KULIPA FIDIA YA KUNAKILI WIMBO WA MSONDO NGOMA | Darmpya
SHILOLE KUTOKA NA KIGOLI | BONGO YETU
Share MWANAMUZIKI mwenye jina hapa Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameibuka na kusema kuwa yupo mbioni kutoa Ngoma ya Kigoli mwishoni mwa mwezi huu ambao utakuwa na mahadhi ya Afropop. Shilole ambaye amewahi kutamba na nyimbo zake kadhaa zikiwemo Say My Name, Hatutoi Kiki, Malele na nyinginezo kibao, amesema ngoma hiyo ina ujumbe mzuri kwa jamii hivyo mashabiki wake wajiandae kuipokea. “Natarajia kutoa wimbo mpya mwishoni mwa mwezi huu, nimeimba mahadhi ya Afropop naamini ukitoka tu na watu wakiusikia utakuwa funzo kwa jamii kutokana na ujumbe uliomo humo,” alisema Shilole. READ MORE Share from AutoMedia Tanzania via Read More
BREAKING NEWS: Tundu Lissu akamatwa | Emmanuel Shilatu
Share Mbunge wa Singida Mashariki, Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha CHADEMA Mheshimiwa Tundu Lissu, amekamatwa na Mlinzi wa amani alipokuwa anatoka mahakamani Kisutu . Wamesema wamemkamata kwa ajili ya mahojiano. “Tumetoka Mahakama ya Kisutu muda huu ambapo Mwanasheria Mkuu wa Chama, Tundu Lissu alikuwa na kesi ya tuhuma za uchochezi (uchochezi one) lakini pia alikuwa ni wakili kwenye kesi inayomkabili Yericko Nyerere hapa hapa Kisutu. Wakati gari la Lissu likiwa liko getini tayari kwa kutoka, likawa blocked na nyuma ya gari yake pia likasimama gari jingine likiwa na askari polisi wenye silaha, kisha wengine wakamfuata na kumwambia yuko chini ya ulinzi na atakiwa kwenda Central Police. Wakamtaka ashuke kwenye gari lake na apande gari jingine la kwao kwa ajili ya kuelekea Central Police”. Amesema Makene. Chanzo: Jamii For...
Change by Lana Del Rey – Mp3 Download | AutoMedia Tanzania
Popular All Time
MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg Rodrick L. Mpogolo amewataka viongozi wa Mkoa wa Dodoma na wana CCM kwa ujumla kushiriki katika vikao vya mashina na kuimarisha mashina wanayotokana nao ili kukiongezea mtaji Chama cha Mapinduzi. Ndg Mpogolo ameyasema hayo leo Wilaya ya Dodoma Mjini wakati wa maadhimisho ya sherehe za kuzaliwa CCM kwa kuagiza Viongozi wote bila kujali nafasi zao kushiriki katika vikao vya mashina na kuwatambua mabalozi wao na kuwapa ushirikiano unaostahili kwa ustawi wa Chama. Akiwa katika ziara katika kiwanda cha Mvinyo cha CETAWICO ,Ndg Mpogolo… Source from Dar Mpya Online TV
KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya
Na Bakari Chijumba, Mtwara. Zaidi ya tani 68 za Korosho zilizokuwa zimepimwa na wakulima katika vyama vya Msingi Chemana na China kata ya Chitekete Halmashauri ya wilaya Newala Mkoani Mtwara, zimerejeshwa kwa wakulima baada ya kukataliwa na Meneja wa maghala kuingizwa kwenye maghala makuu ya TANECU- Newala kwa kinachodaiwa kukosa ubora. Mwenyekiti wa chama cha Msingi Chemana Abilahi Ibadi, amesema Korosho zilizorejeshwa kwa wakulima ni tani 15.6 Kwa upande wake Mwenyekiti msaidizi wa chama cha Msingi China Juma Samli, amesema Korosho zilizorejeshwa kwa wakulima walio chini yake ni Tani 53… Source from Dar Mpya Online TV
VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya
Na Amiri kilagalila Takribani ya vijiji 20 vilivyopo kata 6 wilayani ludewa mkoani Njombe vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme wa megawati 1.6 uliopo katika kijiji cha Lugalawa wilayani humo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mara baada ya kutembelewa na barozi wa nchi ya Ujerumani nchini Tanzania DETLEF WACHTER,Mkuu wa mkoa wa Njombe CHRISTOPHER OLESENDEKA amesema kuwa mradi huo wa kufua umeme kwa kutumia maji unatarajia kukamilika mwezi aprili mwaka huu. “ni kwamba tuna mradi wa kufua umeme kwa kutumia maji katika kijiji cha Lugalawa wilaya ya Ludewa… Source from Dar Mpya Online TV
MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya
Na Shabani Rapwi Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Saimon Msuva anaekipiga katika klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco usiku wa jana Jumamosi ametupia magoli mawili na kuifanya timu yake kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Ittihad Tanger katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Morocco (Botola Pro League). Msuva alifunga goli la kwanza dakika ya 2′ na dakika ya 30′. Ushindi huo wa magoli 2-0 unaifanya Difaa El Jadida kufikisha alama 24 wakiwa nafasi ya 9 huku Ittihad Tanger wakibaki nafasi ya 3 wakiwa na alama 27… Source from Dar Mpya Online TV
MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya
Na Shabani Rapwi. Usiku wa kuamkia leo Jumamosi, February 23, 2019, mabondia wawili wa Tanzania, Hussein Itamba, Ibrahimu Tamba walikuwa ulingoni katika mji wa Budepest, Hungary na wote wamepoteza mpambano yao kwa points. Pambano la kwanza lilikuwa la raundi nane la uzito wa Middle Weight 77’5kgs kati ya Hussein Itamba dhidi ya mjerumani Mates Kids, na mtazamani Itamba alipoteza kwa pambano ilo kwa points zaidi ya mjerumani huyo. Na pambano la pili lilimkutanisha bondia mtanzania Ibrahim Tamba na bondia Sherfat Suf kutoka Hurungay katika pambano la raundi nane uzito wa… Source from Dar Mpya Online TV
“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya
Na Shabani Rapwi. Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) hapo kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, utakaochezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Saa 10:00 Jioni. Shabiki wa klabu Azam FC maarufu kwa jina la Ngaona Azam amefunguka kuelekea kwenye mchezo huo na kusema haoni Simba ya kuifunga Azam katika mchezo huo licha ya matokeo ya hivi karibuni kuwa si mazuri kwao. “Bado sijaiona Simba ya kuifunga Azam kesho.Najua Azam tunapitia katika kipindi kigumu kutokana na matokeo tunayoyapata katika mechi za hivi karibuni”… Source from Dar Mpya Online TV
MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya
Na Amiri kilagalila Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limewataka Mafundi wanaojihusisha na shughuli za nishati ya umeme mkoani humo kupata leseni kutoka mamlaka ya uthibiti wa nishati na maji EWURA ili kupambana na mafundi wasiokuwa na weledi na kazi zao wala kutambulika kisheria huku wakisababisha matatizo kwa wateja. Wito huo umetolewa na mhandisi wa mpango na kaimu meneja wa Tanesco mkoa wa njombe, YUSUPH SALIM wakati akizungumza na mafundi umeme pamoja na wahandisi katika mkutano wa pamoja ulioandaliwa na umoja wa makandarasi (UMAU) katika ukumbi wa Miriam… Source from Dar Mpya Online TV
NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya
Waziri wa Nishati Mhe. Medard Kalemani kwenye ziara ya kikazi mkoani Mwanza iliyoanza hii leo akiwa wilayani Nyamagana amewasha mradi wa umeme Vijijini REA mtaa wa Nyakagwe katika Kata ya Buhongwa. Mhe. Kalemani amesema, serikali ya Mhe. John Pombe Magufuli imeongezewa KM 20 za ziada kutoka KM 25 zilizokuwepo awali Nyamagana katika mpango wa mradi wa umeme Vijinini REA na kufikia KM 45 ikiwa ni ombi maalum la Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe. Stanslaus Mabula ili kutatua changamoto ya umeme kwa wakazi walioko maeneo ya pembezoni. Akiongea na wananchi… Source from Dar Mpya Online TV
SERIKALI YAUNGANA NA WANANCHI UJENZI WA MADARASA | Darmpya
BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya
Na Stephen Noel Mpwapwa -Dodoma. Mahakama ya wilaya ya Mpwapwa imewahukumu watu watatu akiwemo baba na mwanae wakazi wa kijiji cha Msagali darajani kata ya Chunyu wilayani Mpwapwa kila mmoja kifungo cha miaka 30Jela baada ya kupatikana na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha. Watu hao ni Baba mzazi Raphael Mkwai wa miaka (54) na mwanae Kombozo Kenneth( 30) pamoja na shemeji wa baba huyo huyo Msafiri Machimo (22) wenye kesi namba 130 ya mwaka 2017 iliyo kuwa inasikilizwa na Hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya hiyo,Pascal Mayumba na… Source from Dar Mpya Online TV
Comments