Posts

CUF UPANDE WA MAALIM SEIF WAMUANGUKIA JAJI MKUU | Darmpya

Chama Cha Wananchi (CUF) upande wa katibu mkuu Maalim Seif Sharif Hamad kimemuomba Jaji Mkuu na Jaji kiongozi kusaidia kusomwa hukumu katika shauri linalohusu uhalali wa uenyekiti wa Profesa Ibrahim Lipumba. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es salaam  na Mnadhimu wa Kambi ya CUF Bungeni ambaye pia ni mbunge wa Malindi Ally Saleh wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema shauri hilo lililopo mbele ya Jaji Dr.Benhajj Massoud tayari limeshasikilizwa kwa pande zote mbili na lipo katika hatua ya kutolewa hukumu. Mnadhimu huyo amesema kuwa kucheleweshwa kutolewa kwa hukumu hiyo kumeathiri… Source from Dar Mpya Online TV

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

Na Amiri kilagalila Takribani ya vijiji 20 vilivyopo kata 6 wilayani ludewa mkoani Njombe vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme wa megawati 1.6 uliopo katika kijiji cha Lugalawa wilayani humo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mara baada ya kutembelewa na barozi wa nchi ya Ujerumani nchini Tanzania DETLEF WACHTER,Mkuu wa mkoa wa Njombe CHRISTOPHER OLESENDEKA amesema kuwa mradi huo wa kufua umeme kwa kutumia maji unatarajia kukamilika mwezi aprili mwaka huu. “ni kwamba tuna mradi wa kufua umeme kwa kutumia maji katika kijiji cha Lugalawa wilaya ya Ludewa… Source from Dar Mpya Online TV

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WANANCHI KUMALIZA TATIZO LA VYUMBA VYA MADARASA | Darmpya

Na Allawi Kaboyo. kufatia kuwepo kwa uhaba wa vyumba vya madarasa na kupelekea uwepo wa mrundikano wa wanafunzi katika shule za sekondari Tunamkumbuka na Butulage zilizopo halmashauri ya wilaya Bukoba mkoani Kagera, wananchi katika maeneo hayo waliamua kuanzisha ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa kwa kila shule ambapo serikali imewaunga mkono kwa kuwapelekea kila shule shilingi milioni 25 ili kumalizia ujenzi huo. Akiwaelezea wananchi upatikanaji wa fedha hizo wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi ulipofikia Februari 25 mwaka huu mwenyekiti wa halmashauri hiyo ambaye pia ni diwani wa kata… Source from Dar Mpya Online TV

BILIONI 1.2 ZA BENK YA NMB KUTUMIKA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU KANDA YA ZIWA VICTORIA | Darmpya

Na mwandishi wetu Benki ya NMB kanda ya ziwa Victoria inatarajia kutumia zaidi ya Sh1.2 bilioni kuboresha mazingira ya utoaji huduma katika sekta ya elimu na afya kwenye mikoa iliyoko ndani ya kanda hiyo Kaimu meneja wa NMB wa kanda ya ziwa Abrahim Agustino alisema fedha hizo zinatumika kuweka samani katika shule za msingi na sekondari na kuboresha miundombinu katika vituo vya afya na Hospitali pale wananchi na viongozi wanapopeleka ombi la kusaidiwa nguvu zao Agustino alisema hayo jana wakati akikabidhi meza 62 na viti 62 vyenye thamani ya Sh… Source from Dar Mpya Online TV

SERIKALI YAUNGANA NA WANANCHI UJENZI WA MADARASA | Darmpya

from Dar Mpya Online TV

MAHAKAMA YASOGEZA MBELE KESI YA MAUAJI YA WATOTO NJOMBE | Darmpya

Na Amiri kilagalila Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe leo imewapandisha kizimbani kwa mara ya pili watuhumiwa watatu wa mauaji ya watoto watatu wa familia moja wa kijiji cha Ikando kata ya kichiwa wilayani Njombe. Watuhumiwa hao ni JOEL JOSEPH NZIKU,NASSON ALFREDO KADUMA na ALPHONCE EDWARD DANDA ambao Wanakabiliwa na mashtaka ya kuwaua watoto hao kijijini humo. Watoto hao ni Godliver Nziku, Gasper Nziku na Giriad Nziku ambao ni watoto wa familia moja huku ikielezwa kuwa watuhumiwa hao walitenda kosa la kuwaua januari 20 mwaka huu. hakimu mkazi mkoa… Source from Dar Mpya Online TV

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya

Na Amiri kilagalila Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Njombe limewataka Mafundi wanaojihusisha na shughuli za nishati ya umeme mkoani humo kupata leseni kutoka mamlaka ya uthibiti wa nishati na maji EWURA ili kupambana na mafundi wasiokuwa na weledi na kazi zao wala kutambulika kisheria huku wakisababisha matatizo kwa wateja. Wito huo umetolewa na mhandisi wa mpango na kaimu meneja wa Tanesco mkoa wa njombe, YUSUPH SALIM wakati akizungumza na mafundi umeme pamoja na wahandisi katika mkutano wa pamoja ulioandaliwa na umoja wa makandarasi (UMAU) katika ukumbi wa Miriam… Source from Dar Mpya Online TV

Popular This Month

MBEBA VYUMA AMUONDOA 50 CENT KWENYE MAISHA YA UBACHELA | Darmpya

SIBOMANA NJE MIEZI MIWILI BELARUS BAADA YA KUVUNJWA VIDOLE | BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE

Dk. Kigwangalla akabidhi gari la wagonjwa jimboni kwake | habari

KARIA AMTEUA NYAMLANI, MGOYI KUONGOZA KAMATI ZA TFF PIA WAMO WAANDISHI WAWILI WA TSN | Mroki Mroki

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

MBUNGE WA KIBAHA MJINI SYLVESTRY KOKA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA 'KUTUMBUA JIPU' LA UUZAJI WA KIWANJA CHA ZAHANATI. ASHIRIKI USAFI WA ENEO LA KUJENGWA ZAHANATI | noreply@blogger.com (Muhidin Sufiani)

MAHAKAMA YAAMURU KUACHA MGOMO KWA WAFANYAKAZI WA HOSPITAL YA KENYATTA | Darmpya

DC amuweka ndani Mbunge wa CCM | Emmanuel Shilatu

Popular All Time

MPOGOLO AWATAKA VIONGOZI MKOANI DODOMA KUSHUKA CHINI KUIMARISHA MASHINA…WAKULIMA WA ZABIBU WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI. | Darmpya

KOROSHO TANI 68 ZAREJESHWA KWA WAKULIMA KWA KUKOSA UBORA | Darmpya

MSUVA AWA MTAMU APIGA MBILI PEKE YAKE, DIFAA EL JADIDA | Darmpya

MABONDIA WAWILI WA TANZANIA WACHEZEA KICHAPO USIKU MMOJA | Darmpya

VIJIJI 20 MKOANI NJOMBE KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME UNAOFADHILIWA NA UJERUMANI | Darmpya

“SIJAONA SIMBA YA KUIFUNGA AZAM KESHO” – NGAONA | Darmpya

NYAMAGANA YAPATA KM 45 ZA MRADI WA UMEME VIJIJINI (REA) | Darmpya

BABA NA MWANAE NA SHEMEJI MTU WAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA | Darmpya

MAFUNDI UMEME WATAKIWA KUWA NA LESENI YA EWURA KUPUNGUZA ‘VISHOKA’ NJOMBE | Darmpya